Happy Birthday Mohamed Shossi..................!!!!!! !!!!!!!!!!!

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Birthday wishes to you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa heshima na taadhima napenda kukutakia heri ya kuzaliwa leo................
Mungu akupe maisha marefu akupe uhai uishi miaka zaidi ya hii unayotimiza leo

Uwe na siku njema na usherekee salama...........

Happy Birthday my Brother Mohamed Shossi

Dada yako DA

images
 
Ohhhhhh waooo
Happy Birthday mkuu.
Ni kitambo hatujakuona hapa jamvin.
Hopeful kila kitu ki sawa upande wako.
rudi naomba usipotee sana hivyo si vema.
Nikutakie siku njema na zawadi ntakupa ..
Hongera mkuu kwa siku hii ...
 
Birthday wishes to you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa heshima na taadhima napenda kukutakia heri ya kuzaliwa leo................
Mungu akupe maisha marefu akupe uhai uishi miaka zaidi ya hii unayotimiza leo

Uwe na siku njema na usherekee salama...........

Happy Birthday my Brother Mohamed Shossi

Dada yako DA

images

What a lovely birthday massage from a sister! Thank you very much for the compliments nimeipenda sana cake shukran sana.
 
Hepi besdei ya nini kwanza huyo mtu siyo active memba humu siku hizi acheni kujipendekeza.
Mi mbona besdei yangu imefika lakini hamniandiki.
 
Hepi besdei ya nini kwanza huyo mtu siyo active memba humu siku hizi acheni kujipendekeza.
Mi mbona besdei yangu imefika lakini hamniandiki.

Mkuu habari yako? I wish to recognise your presence and your birthday as well.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom