Sumu ya mapenzi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumu ya mapenzi!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Primitive, Mar 15, 2012.

 1. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  chokoraa!! big up kwa kipande hiki!
  "navumiliaa na navumiliaa lakin ipo siku nitachokaa, nafsi itakinaii,. moyo nitapiga konde!! manyanga "nitayabwaga!!!" x 2!! "bora niwe bahchela" x2!! eeh,,
  siwezi nenepesha shetanii wakati kiti anakonda!!! haya mapenzi ganii!!? ya kuniumiza moja kwa moja!!! nifanye ninii!! yeye tabasamu eeh! walishakuja nyumbani zaidi ya mara7, 8,9,, 10. kuja kushuruhishaa haya matatizo yetu! lakin mpenzi wangu wewe tukiongea unasema yameishaa kesho na kesho kutwa unarudia tena!!!! sumu ya mapenzi ni maudhi!
   
 2. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kalala!!
  kila siiku x 2! siri ya mapenzi nikuelewana oh! mimi kwako nikuambia naomba unisikie!! kwanini kila siku smile unapenda tugombane! kwanini kila siku preta unapenda unapenda tupiganee! kwanini kila siku, fl1 unapenda tuzozanee! "nitachokaa x2!" nitaona bora tuachaneee!!!! Twanga for Life!
   
 3. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Gwandu, unataka kutoa single?
  However I agree with you kuwa sumu ya mapenzi ni maudhi. Wakaka na wadada wengi wamejikuta wanashindwa kuwafurahia wandani wao na kujikuta wanaangukia kwenye mikono ya mbwa mwitu walafi wa mapenzi ya watu kwa sababu za maudhi/ugomvi na wandani wao. Ni vzr kwa wote walio kwenye mahusiano kuachana na tabia ya ugomvi.
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ndio Dunia...
   
 5. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  naunga mkono
   
 6. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  kuna mtu humu JF kaninywesha
   
 7. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mi thitaki kuinywa
   
 8. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mnamsaha Luiza Mbutu kwenye wimbo huo,aliimba hivi. Tuimbe wote kwa pamoja kwa msisitizo "Moyo wangu unautesa hivi mpaka sasa unataka kutoboka nikikumbuka mwanzo wa mapenzi yetu tuliwekeana masharti maa, kuwa wewe unapenda hiki na kile ukipendi na mimi nikakueleza nakipenda hiki na kile sikipendi maa, sasa nashangaa yako nayafuata yakwangu unayaweka kapuni"
   
 9. s

  shosti JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  siwezi nenepesha shetani wakati kiti anakonda,haya mapenzi gani ya kuniumiza moja kwa moja sijui kwa nini hii kipande imenikuna sana jamani au kwa vile ndo nilivyo huwa silazimishi mambo!!!
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Love in the air?!!!
   
 11. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kwenye uu uzi mbona smile atokei? au kapigwa mkwara na my huby wake?
   
Loading...