Unafanyaje?

Egyps-women

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
498
106
JF mnafanyaje pale unapohisi akili imechoka ,inahitaji mtu unayemwamini umwambie jambo linalokusibu..linalokuchosha
atakayekuwa tayari kukupa muda wa kukusikiliza ...kukuadvice and so and so...
Lakini kila ukijaribu kuwaza
Fulani akili inasema no..Fulani no...not trusted
and and ..unafanyaje?
...
 
mi huwa nalia weeee then nawapm niwapendao humu jf
nikutajie?
believe me utaregret
pole love
 
Aisee, jichagulie mtu wa kuongea naye
Sehemu yoyte, vinginevyo utapasuka
Life is full of stress

Ila kumchagua mtu pia is a challenge
Sometimes anakushangaa kwa nini unamweleza yote hayo

Dah, its very complicated.

kuwa PM JF tena mmh hebu nitajie ni kina nani
Signature yangu inasema PM not....
 
Go somewhere, ambako no one knows you
pick a stranger, jaribu kuangalia mtu matured, tena ukipata anayekuzidi umri
Ongea naye, usimwachie contact yeyote wala trace yeyote ya kukufahamu

Utakuwa comfortable kuongea ukweli.
Fulani akili inasema no..Fulani no...not trusted
and and ..unafanyaje?
...
 
Pole sana...

Ila kwa jibu la Kongosho,kuna shida moja..

Wengine hutumia JF kwa maswala hayo,ila shida ni kwamba majibu wanayopata sasa...
Nenda jukwaa la MMU,utadhani ni la chit chat... Kumbe wengine wanahitaji ushauri wa maana tu,sema wanaukosa!

Yes Konnie..hapo sawa...
Aende kwa mtu wasiyefahamiana kabisa..
 
Aisee, jichagulie mtu wa kuongea naye
Sehemu yoyte, vinginevyo utapasuka
Life is full of stress

Ila kumchagua mtu pia is a challenge
Sometimes anakushangaa kwa nini unamweleza yote hayo

Dah, its very complicated.


asante sana kongosho kwa ushauri mzuri
Lakini je unajua maisha kuna ups and down huyo stranger nikiongea nae na kumwachia siku nyingine tena nikitaka mtu wa kuongea nae natafuta tena stranger ?
 
Kwa kawaida huwezi ukakosa mtu hata mmoja mliyeshibana na mnayeshare vitu vyenu....
Hope unao na km huna basi kuna kitu hakiko sawa kwako...
 
Sometimes yes,
Nso shidaya kutumia stranger, everytime it will be a new face.

Tatizo la mtu anayekufahamu, ni uaminifu.
Wakati mwingine ni guts za kumwambia kila kitu zinakuwa ndogo
Kuna vitu vingine vya kijinga kabisa lakini vinakusumbua na unaona aibu kumwambia mtu anayekufahamu.

Japo, ukiweza pata anayekufahamu ni nzuri.
asante sana kongosho kwa ushauri mzuri
Lakini je unajua maisha kuna ups and down huyo stranger nikiongea nae na kumwachia siku nyingine tena nikitaka mtu wa kuongea nae natafuta tena stranger ?
 
Go somewhere, ambako no one knows you
pick a stranger, jaribu kuangalia mtu matured, tena ukipata anayekuzidi umri
Ongea naye, usimwachie contact yeyote wala trace yeyote ya kukufahamu

Utakuwa comfortable kuongea ukweli.

mhhh konny,anyway thanks for the tip lakini..dah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom