Eti kisaa sijalewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti kisaa sijalewa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mlachake, Mar 15, 2012.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,720
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  jana nilikua Zero pub nacheki game ya Chelsea.
  Baada ya game niaamua kupata Moja Mbili.
  Mida ya saa nane. nikaanza safari ya kurudi home.
  kufika nyumbani kumezuka ugomvi mkubwa sana. Eti nitakaaje Bar mpake saa nane za usiku halafu nirudi nyumbani sijalewa
  ''lazima umetoka kwa wanawake zako, usinione mtoto wa kunidanganya''
  Kumbe ningejifanya nimelewa Chakari ningelala kwa amani.
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hahahaha, ana lake jambo huyu!
   
 3. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  pole sana mkuu, mi naona siku ingine piga pombe mpaka ujinga ukutoke.
   
 4. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,060
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Saa nane za usiku?? ¿¿¿¿
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Aya we aya we
   
 6. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Walifunga ngapi ngapi?
   
 7. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hahahahahaha, wewe ni zaidi ya mke wake!
   
 8. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  waongo hawa wanasingizia mpira,, umeshindaje lakini kipenzi?
   
 9. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ..ukamjibuje..?
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nipo nipo tu, siku hizi I feel a bit low, sijui kwa nini
  wewe je? mzima? dagaa zangu bado zipo?
   
 11. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  yeah dagaa zipo diaa na leo mchana nimekula ugali dagaa,jamani unakuja lini sasa?
   
 12. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hahahaha, udenda unanitoka mwenzio! ngoja nifanye mpango nije weekend!
  Ngoja kwanza nikupe hii story umenikumbusha:

  Kuna wanafunzi wa4 waliji-enjoy kama wazim the entire weekend
  Fika monday wote walikua na hangover, wakaamua kutoenda shule
  Kumbe mwalimu alipanga mtihani na ukafanyika, wakapewa ziro

  wakapanga kumdanganya mwalim kua walipata pancha highway
  na walipo maliza kurekebisha masaa yalikua yamesha pita
  mwalimu akakubali kurudia mtihani wa wanne hao,
  akawaweka separate rooms, kila mtu na paper yake, swali moja tu:

  Ni tairi ipi ilio pata pancha highway?
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaaa kweli hapo lazma ile kwako...
  Dawa yake ungembebea hata nyama choma asingemind hata kidogo....
   
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Shikamoo Kaby!
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Marahaba mtoto mzuri, hujambo?
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  inaelekea daily huwa anarudi tungi sasa karudi network ipo ful ishakuwa soo..
   
 17. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hahahahahaha hawakuwa na simu hata wagoogleliana pyaaaa you have made my evening enhe ikawaje?
   
 18. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  marahaba dogo tundu!
   
 19. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wifi upo jamani?
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hahahaha! Hapa lazima wote wapate zero lol. Wanajifanya wana akili kumzidi mwalimu... Tehe tehe!

  Mwali malizia hiki kisa manake kimenivutia!
   
Loading...