No sex

Ningekuwa mimi


Kule nyuma ya hilo duara napigilia vimisumari viwili katikati ya maneno haya:

NO SEX, SEX na NO SEX

Kila nikizungusha vile vimisumari vitakuwa vnapungusa kasi lakini sababu viko viwili chance kubwa litasimama katika NO SEX, SEX na NO SEX

Kwa sababu hii nitakuwa nimeongeza probability yangu ya kupata zigo kutoka 1/12=0.06333 mpaka 1/3=0.333
 
Jamaa alichemka alitakuwa asivue nguo kwanza..unazungusha kwanza baada ya kupata matokeo ndio unachukua tizi.. Otherwise utapigana au uchakachue matokeo kama C...M!!
 
Aiseee kudabhang'ken ck nkibaatika isimame kwenye SEX duh atakoma kesho yake atafuta na hyo SEX kabsa
 
Huyo mwnmk mjanja sana kwa kuunda hiyo spin board! 'No sex' ni nyingi zaidi kuliko 'sex' kiasi kwamba liduara la mbao likisimama lazima lisimamie kwenye 'No Sex' Si ajabu huyo mama ni Mchaga!

humwe-wewe "geuza maneno utapata tusi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom