1-Jela
2-Kufa
3-Kubakwa
4-Talaka
5-Ugonjwa
6-Shetani
7-............
Mimi naogopa sana Jela na Shetani, Je ww unaogopa nini? Ukitaja na sababu itakuwa vizuri....
CHAMA kikubwa sana cha siasa katika nchi ya Lyabishuuri kiliamua kuitisha mkutano wa dharura kupitia kurugezi yake ya propaganda na Mipango.
Dharura hii ilitokana na kuona Jamii Forums...
Preta na wenzako hebu mshaurini mwenzenu ananibania kisa nina vigezo vyote vya mwanaume anaevutia mtoto wa kike kwa KILA KITU nimemconvice sana mpaka naona kama namconfuse! Hajielewi,
SOMA HII..
Jamaa alikuwa safarini
Kikazi akafika guest
sikuiya alijiona mnyonge
Akaamua kumuuliza
Muhudumu mmoja wa kiume kuwa anashida na demu
Muhudumu: akamwambia mademu wapo ila
Sisi...
Jamaa mmoja alishuka kwenye ndege uchi...... Itabidi Wafanyakazi wamuulize: Vp mr. mbona huna nguo? Jamaa alijibu: ahh! Pilot wenu alikuwa anatusumbua sana mara anatwambia tufunge mikanda! Mara...
Tangu nimeacha kuugua malaria zaidi ya miaka kumi iliyopita ugonjwa wangu mkubwa kabisa kwa siku za hivi karibuni umekuwa ni mafua. Nayachukia mafua coz yakinipata napata homa, kichwa kinauma...
Nimefurahia hawa wloimba Taarabu za zamani
1. Jamani mapenzi yananitatiza eeeh
kulala siwezi chakula sitaki akiona sumu . .
jamani taarabu za zamani ntazipata wapi?
Hiki ndo kimenigusa...
Nilipotea kitambo sana sasa nimerudi,nimekuta post nyingi sana sijui nisome post ya nani maana nataka nicheke nipunguze sumu mwilini. Nambie nani mkali siku hizi humu jokes?
wazee wa kipare walikuwa kwenye mkutano baada ya mjadala mrefu mdee akasimama,MWENYEKISHIsikubaliani na mjumbe aliyeondoka. kusikia hivyo mzee mrindoko akadakia NEKITAJA...
One morning the husband returns after several hours of fishing and decides to take a nap. Although not familiar with the lake, the wife decides to take the boat out. She motors out a short...
Nilikutana na Lulu pande za Mlimani City mwaka jana. Akawa anatoka sehemu ya Mr Price,nikamwita tukapiga piga story. Mara akaniuliza "unatembelea gari aina gani"? Nikamjibu mimi nasukuma guta...
Jamaa fulani alikuwa na tabia ya kuj ba kwa nguvu kila aamkapo asubuhi. Mkewe alikerwa sana na tabia hiyo, alimkataza akachoka, siku moja akamwonya kuwa iko siku badala ya pumzi, utumbo utakuja...
KUNA JAMAA MMOJA ALIKUWA ANAPENDA SANA MISOSI,SIKU MOJA WAKATI ANARUDI NYUMBANNI AKAKUTA WATOTO KIBAO WANACHEZA KARIBU NA NYUMBA YAKE,akajisemea moyoni nikiletewa chakula hawa watoto lazima...
One day a florist goes for a haircut. After the cut, he goes to pay the barber and the barber replies: "I am sorry. I cannot accept money from you, I am doing a community service". The florist is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.