Jamaa mpenda kula. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa mpenda kula.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ringo Edmund, Apr 15, 2012.

 1. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  KUNA JAMAA MMOJA ALIKUWA ANAPENDA SANA MISOSI,SIKU MOJA WAKATI ANARUDI NYUMBANNI AKAKUTA WATOTO KIBAO WANACHEZA KARIBU NA NYUMBA YAKE,akajisemea moyoni nikiletewa chakula hawa watoto lazima wataniomba,ngoja niwatoe kiujanja.
  AKAWAAMBIA JAMANII NIMEPITA MTAA WA SABA KULE NIMEKUTA WATU WAKIGAWIWA BECHE,WATOTO KUSIKIA HIVYO WAKATIMUA MBIO KUELEKEA MTAA JAMAA ALIOWAAMBIA.

  JAMAA AKAJIULIZA KWA NINI WAMETIMUA MBIO NAMNA ILE ISIJE KUWA KWELI AKAKOSA BECHE NA YEYE MBIO PAMOJA NA WALE WATOTO.
   
 2. C

  Chassarsenal Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mchizi ni noma! Anatakiw ajue kuna vita, jela, na njaa kali.
   
 3. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  saafi sana japo sijaelewa hiyo beche ni nini ila nzuri mkuu
   
 4. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  beche=cheka na watoto=mpunga=wali=chenyewe=ubwabwa
   
 5. General mex

  General mex Senior Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  imekaa poa mkuu.
   
Loading...