Ijuma

Ijuma

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
:llama::llama::llama::llama::msela::msela::majani7::majani7::cheer2::cheer2:
 
Hi Vivian... Mentor sends his regards.....
 
Mentor umeonana nae wapi aisee Ashadii?

Mentor is my kid brother.... Wakati anachukua leave miezi kadhaa nyuma aliniaga, alivorudi a week ago alipiga hodi kwa pm kua amerudi.... Hivo I know yupo; na Vivy ni kipenzi cha Mentor... I wonder if the fire is still there....lol

Mzima 52?
 
Mi mzima kabisa....nimestaajabu kusikia haya....
Mi nilimuona aliorudi ila sikuwa na taarifa za yeye na Vivy....Lol kumbe ndo maana vivian alichukua maamuzi yale kwa Bagah...safi sana. Mwambie asiotee tena coz tangu amekuja na kuondoka hajarudi tena
 
Kumbe na wewe ushaonana na Mentor? Alfu sipo mda jamani, Vivy alichukua maamuzi gani kwa Bagah? lol

Usijali Mentor namtafuta Asap atakuwepo hapa siku zoote.
 
Duh naogopa kusema maana Bagah anaweza kunimaliza....ila alileta noma kidogo lol
 
Ni salamu kwa Bagah eeeh?

B52 Uliiba mkoba kwa Sheikh Yahya?
Yaani vile nilivyoelewa mie ndivyo ulivyoelewa wewe! Ni kweli that's msg to BAGAH! Imeletwa kiaiyna! Eti babaisha- *****!
 
Mentor is my kid brother.... Wakati anachukua leave miezi kadhaa nyuma aliniaga, alivorudi a week ago alipiga hodi kwa pm kua amerudi.... Hivo I know yupo; na Vivy ni kipenzi cha Mentor... I wonder if the fire is still there....lol

Mzima 52?

jamani wifi yangu!!! ulikua wapi?
 
Tatizo Bagah bado ana machungu ya kukataliwa kwa hiyo anaweza kuja km mbogo....aliambiwa na Vivian "Bagah is player boy" Lol washenga wacha litushuke....

usitake ncheke. Yule najua anataka kunimalima tu Asepe
 
jamani wifi yangu!!! ulikua wapi?

Nipo dearest.... mambo tu yamebana na nilikua nimeenda kumpokea Mentor baada ya wewe kua safarini ile last week. Mzima lakini? Ni siku nyingi kwa kweli.... You look as beautiful as always....
 
Back
Top Bottom