Kill Music Awards!

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
Nimefurahia hawa wloimba Taarabu za zamani

1. Jamani mapenzi yananitatiza eeeh
kulala siwezi chakula sitaki akiona sumu . .

jamani taarabu za zamani ntazipata wapi?
Hiki ndo kimenigusa.

Bado sikinde na msondo lol
 
Nimefurahia hawa wloimba Taarabu za zamani

1. Jamani mapenzi yananitatiza eeeh
kulala siwezi chakula sitaki akiona sumu . .

Hiki ndo kimenigusa.

ewe njiwa ewe njiwa peleka salamuuuu kwa yulee kwa yuleee.............

Anyway mapenzi yanakutatiza kongosho?
 
wanamme tumeumbwa mateso mateso kuhangaika.

Jamani natamani 86-92 irudi enzi hizo mziki ulikuwa mziki.
 
Usipate taaaaaaaaabu Neeeeema, uliyoyafanya si mageni hapa dunianieeeeh
 
Jonii jonii mie, dunia imenitenga, chanzo cha mateso ni kufariki baba na mama.

Ukiona mtu mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo.

Ama kweli baba na mama ni nguzo duniani leo hawapo tumesambaratika.
 
Tunaimba huku tunalia, ee M/Mungu, tunakuomba, tushike mikono utuinue, tunalia kwa uchungu.

Yarabi tupe salama, safari yetu, tuepushe na majanga, yanayotukabili.

Tumekua watu wa kuandamwa, na maadui, kosa letu hatulijui, yarabi mola, tusaidie.

......

Vp na hii imepigwa? Naihusudu sana.
 
Eva nimelibeba pendo lako kama mwana na mbeleko.

Nina kukwambia mchana usiku silali natafuta pesa

ili tuishi vizuri na kijenga familia bora yenye thmani na penzi

Eva oooh Eva imekuwaje Eva
Eva oooh Eva nielezeee oooh

Ninapokuuliza hutaki kusema na mimi, ninapokuuliza wewe unanuna nuna.
 
Ndio, yaani niko nasakata mbele ya watoto hawana mbavu.

Tunaimba huku tunalia, ee M/Mungu, tunakuomba, tushike mikono utuinue, tunalia kwa uchungu.

Yarabi tupe salama, safari yetu, tuepushe na majanga, yanayotukabili.

Tumekua watu wa kuandamwa, na maadui, kosa letu hatulijui, yarabi mola, tusaidie.

......

Vp na hii imepigwa? Naihusudu sana.
 
sina neno mimi kwa kuwa najua huyo ni mzazi mwenzio penzi maua

ipoo siku eee penzi upepo, ntakuja nyumbani kwa wazazi wako, kuleta barua ya uchumba mie, tufungee ndoaaa na weweeeee

Penzi upepo.
 
Iviii..! ts true dat kwamba diomond ana stahili awards tatuuu?.. Mi siamini hilo..kwamfano kwenye mwandishi bora fid ni best writer every one anajua hilo; lakini hakwepo kwenye category ya mwandishi bora..nyimbo ya jide ni best video zaidi ya moyo wangu ukiangalia location na quality but kachukua diamond halafu wasanii ni walewale kwenye kila category watanzania hatuoni au tunashabikia tu mapenzi na msanii..ni hayo tu! Thts wat i think!
 
Konnni hapo kwenye twaarab hawajanipata...ila huko kwa kina neema...tunatona roho yarabii...najiskia utaaam!...
 
Eva nimelibeba pendo lako kama mwana na mbeleko.

Nina kukwambia mchana usiku silali natafuta pesa

ili tuishi vizuri na kijenga familia bora yenye thmani na penzi

Eva oooh Eva imekuwaje Eva
Eva oooh Eva nielezeee oooh

Ninapokuuliza hutaki kusema na mimi, ninapokuuliza wewe unanuna nuna.

Unaharibu nyimbo zetu, si Eva bali ni Hiba. Kazi ya Sikinde hiyo ikiimbwa na super stereo Bitchuka ndani ya mwaka 1984..
 
Iviii..! ts true dat kwamba diomond ana stahili awards tatuuu?.. Mi siamini hilo..kwamfano kwenye mwandishi bora fid ni best writer every one anajua hilo; lakini hakwepo kwenye category ya mwandishi bora..nyimbo ya jide ni best video zaidi ya moyo wangu ukiangalia location na quality but kachukua diamond halafu wasanii ni walewale kwenye kila category watanzania hatuoni au tunashabikia tu mapenzi na msanii..ni hayo tu! Thts wat i think!

Ndiyo maana kina Choki walijitoa mapema kwani hii Kili awards ni ujinga mtupu tu. Kila kukicha wasanii ni wale wale halafu hawana jipya. Nafikiri matokeo yana kuwa yamepangwa tayari kwa anayetoa pesa zaidi kushinda. Personally, siifagilii Kili awards hata iweje kutokana na upuuzi wao wa kutojali maadili; kazi kuuza sura tu.
 
Una uhakika?????

Redio yangu inatamka Eva, na jana kwenye Tv yangu iliimba Eva, au wewe ulikuwa unasikilia nyuma ya TV?

Unaharibu nyimbo zetu, si Eva bali ni Hiba. Kazi ya Sikinde hiyo ikiimbwa na super stereo Bitchuka ndani ya mwaka 1984..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom