Jamaa Safarini

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,304
SOMA HII..
Jamaa alikuwa safarini
Kikazi akafika guest
sikuiya alijiona mnyonge
Akaamua kumuuliza
Muhudumu mmoja wa kiume kuwa anashida na demu

Muhudumu: akamwambia mademu wapo ila
Sisi
Tunawatambua kwa
Majina ya magari

Jamaa: akasema sasa niitie benzi

Muhudumu: akasema benzi limetoka sasaivi ila limebaki vorkswagon tu nikuitie?

Jamaa: akasema niitie tu nipo chumba NO13

BAADA YA MUDA JAMAA AKAGONGEWA MLANGO NA AKAINGIA MWANAUME SHOGA

Jamaa: akamaind sana akamfata muhudumu na kumuliza kwanini umeniletea shoga?

Muhudumu: akamwambia iyo ndo vorkswagon coz injini yake ipo nyuma boss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom