Funga ukanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Funga ukanda

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by shakamohd, Apr 16, 2012.

 1. s

  shakamohd Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa mmoja alishuka kwenye ndege uchi...... Itabidi Wafanyakazi wamuulize: Vp mr. mbona huna nguo? Jamaa alijibu: ahh! Pilot wenu alikuwa anatusumbua sana mara anatwambia tufunge mikanda! Mara anasema tufungue mikanda mara tufunge mikanda mara tufungue mikanda so nikaona anatukhanisi bora nivue suruali kabisa kabla hajasema tuvue
   
Loading...