Kitambo sana ktk jukwaa.embu nambieni kwa sasa nani mkali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitambo sana ktk jukwaa.embu nambieni kwa sasa nani mkali?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Slave, Apr 15, 2012.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Nilipotea kitambo sana sasa nimerudi,nimekuta post nyingi sana sijui nisome post ya nani maana nataka nicheke nipunguze sumu mwilini. Nambie nani mkali siku hizi humu jokes?
   
 2. C

  Chassarsenal Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakali wapo weng sna, we lete jokes yako 2pate raha ili 2punguz hz stress za lyf la kimbayuwayu...
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  hahahaha! Stress za lifu zimewafanya watu wapinde kama dawa ya mbu,na ukiwanyoosha wanavunjia.
   
 4. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  haaaaa, we fungua zote tuuuuu, si unajua tunatofautiana we unaweza ukacheka mi nsicheka?
   
 5. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Toghocha nishapunguza misongo kichwani baada ya kufuata ushaur wako.
   
 6. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  umeleta zawadi gani ?
   
 7. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  kwanza nilikuwa najiuliza kama nitawakuta.kuhusu zawadi nimekuja na chai ya maziwa ya kuku,mayai ya ng'ombe.
   
 8. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  amemleta Zawadi Ally
   
Loading...