Lulu at mlimani city...!

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Nilikutana na Lulu pande za Mlimani City mwaka jana. Akawa anatoka sehemu ya Mr Price,nikamwita tukapiga piga story. Mara akaniuliza "unatembelea gari aina gani"? Nikamjibu mimi nasukuma guta maeneo ya Mwenge. Acha aninyalii "mmxxxx" mara ghafla akaona nafungua Gx 100 Mark II 6 Cylinder,mara huyoo akaja.. Na kusema Kaka kama unaenda Tabata tuongozane.. Nika....!
To be Continued.
 
Ha ha ha...Guta ndio nini mkuu..
 
pale pale nikatokea na kitu changu range rover voque .... mtoto akaninikimbilia akaniambai nataka mambo nikamwambia mengi ni kaka yangu na barhesa ni mjomba angu ingia ndani tukale bata.baada ya mwezi akatoa mimba yangu
 
jf the great thinker.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom