Tangu nimeacha kuugua malaria zaidi ya miaka kumi iliyopita ugonjwa wangu mkubwa kabisa kwa siku za hivi karibuni umekuwa ni mafua. Nayachukia mafua coz yakinipata napata homa, kichwa kinauma Khaaa yaani nakuwa hovyo hovyo kama leo.
Pole sana bby wangu.....nishajua ulikoyatoa....Umenigusa. Hapa nilipo nina mafua!
Kuna jamaa hapa alisema hayana dawa kwa kuwa ukitumia dawa yanaisha baada ya week 2 na usipotumia dawa pia ni week 2....Tangu nimeacha kuugua malaria zaidi ya miaka kumi iliyopita ugonjwa wangu mkubwa kabisa kwa siku za hivi karibuni umekuwa ni mafua. Nayachukia mafua coz yakinipata napata homa, kichwa kinauma Khaaa yaani nakuwa hovyo hovyo kama leo.
Ni kweli hayana dawa kwasababu bado wanasayansi hawajapata dawa ya kutibu virus, ila dawa zilizopo zinafast track zile stages za mafua na kukutoa kwenye ile stage ya awali ambayo kimsingi ndiyo inatesa zaidi.Kuna jamaa hapa alisema hayana dawa kwa kuwa ukitumia dawa yanaisha baada ya week 2 na usipotumia dawa pia ni week 2....
So inabidi ukubaliane na hali....
Dah poleni sana wapendwaNi kweli hayana dawa kwasababu bado wanasayansi hawajapata dawa ya kutibu virus, ila dawa zilizopo zinafast track zile stages za mafua na kukutoa kwenye ile stage ya awali ambayo kimsingi ndiyo inatesa zaidi.
Hivi ni kweli hii kitu haina dawa?
Tangu juzi inaninyayasa aisee, hadi nakosa pozi..
Hahahahaa zamani nakumbuka nilipokuwa mtoto kulikuwa na dawa inaitwa MKOJO WA PUNDA maana mafua na kikohozi vilikuwa vinaenda pamoja so tulikuwa tunapewa hiyo khaaa ilikuwa na ladha mbaya kinomamie ..liambiwa kunywa dawa ya vichenga hola...kunywa konyagi hola...nikaona huu sasa sio ugonjwa
Tangu nimeacha kuugua malaria zaidi ya miaka kumi iliyopita ugonjwa wangu mkubwa kabisa kwa siku za hivi karibuni umekuwa ni mafua. Nayachukia mafua coz yakinipata napata homa, kichwa kinauma Khaaa yaani nakuwa hovyo hovyo kama leo.