kanitosa kisa ni HANDSOME sana eti anaogopa kunyang'anywa....(kwa mabinti tu ) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kanitosa kisa ni HANDSOME sana eti anaogopa kunyang'anywa....(kwa mabinti tu )

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mirindimo, Apr 16, 2012.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Preta na wenzako hebu mshaurini mwenzenu ananibania kisa nina vigezo vyote vya mwanaume anaevutia mtoto wa kike kwa KILA KITU nimemconvice sana mpaka naona kama namconfuse! Hajielewi,
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Cpendi janaume linalojiita handsome.c bure we utakua shoga tu.
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Mwambie acheck na Boflo atampa maujanja. LOL
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  bado tu una hangover??? Haaa mwanamme asifiwi sura,jipange!
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ana gongwa na mwigulu yule wewe unahela gani ana kuona kama chura wakati we unajiona handsome.Unajipotezea muda tu na endelea na kujisifia na uhandsome wake kama hujajikanumba
   
 6. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  we acha umandazi mwanaume hasifiwi sura . mwanaume anasifiwa kazi na pesa .
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  How do you define handsome...hata Dully Sykes handsome lol
   
 8. paty

  paty JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha ha, kumbe kuna wanaume wenye hizi tabia, punguza kupaka wanja na poda , demu wako unamufnika ndo maana anakukimbia,
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  :tape::tape:
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  jamani ukweli ni kwamba kuana wanaume wazuri wa sura sana tu tena kuzidi wadada, na wala siyo kwasababu ya mapoda na mawanja bali ndivyo walivyo zaliwa.labda niwajuze kitu mwanaume lazima azaliwe awe mzuri sana wa sura, na kazi na kipato kuliko mwanamke sababu ni kwamba mwanamke atajipamba kwa kwa mawigi,wanja nk ili kuongeza uzuri au ili kueka uzuri je manaume ataweka nini asipokuwa mzuri? hawana supplimentary kama wanawake hawa.mwanaum eanatakiwa awe mzuri wa kipato kwani binti atahongwa yy je atafanyaje wakatianataka hehima katika jamii? haipendezi kuhongwa, hata kazini mwanaume inabidi awe na kazi nzuri sana ili kumletea heshima manake kama kama akizidwa na mdada hatma ni nini?

  always -ve
   
 11. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  mwanaume anasifiwa hii mavitu sio usharopaka

  [​IMG]
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  mirindimo ukiona hivyo ujue siyo sababu ya uzuri bali anataka abadili mboga tu, asikupe presha jipange upya mdada
   
 13. paty

  paty JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  madame X hata wewe kama bwana harusi anakufunika kwa kupata poda wanja na ina , HUTAKIMBIA KWELI ????
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,663
  Trophy Points: 280
  Mbona hata Remmy(R.I.P)alikua handsome!
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Uho uhandsome wako unamfikia Ray Ray(Mindless Behavior)?
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hii Kali uhandsome unaliwa ??
   
 17. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Inaweza kua sura yako inavutia lakini sio sababu yamsingi yeye kukukatalia,inategemea unavyo mtokea labda unajipaisha sana punguza mbwembwe kua mtu wakawaida,wasichana wengi hawapendi mwanamme anaejihashua..
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sina hakika kama utakua handsome kumzidi Mizengo au Wasira !
  Babu yangu aliniusia kua "ukimuona mwanaume anajisifia sura, fahamu hataishia hapo tu, akitoka kwenye sura, ataendelea kujisifia vilivyo chini ya sura kimoja baada ya kingine .
  Mtoto wa kiume na Mashauzi inahuuu.. ?
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  ni kwamba ame hisi we utakuwa na tabia ambazo zina mtatanisha sana! na wewe sio kwamba ni handsome ni kwamba haujui kuongea! mwanaume siyo sura,alijua utaendelea kujisifu na sura yako! badili tabia.
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Mwaya, mirindimo, rindima kijana, wanakuonea wivu hawa. Labda wana sura kama bata mzinga.

  Mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe, hebu niPM picha yako.


  Swali la Msingi: Na wakaka wanakusifia wewe handsome?
   
Loading...