Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yule kaka aliekuwa akijibu jibu ovyo issue za mh michael wambura yuko hoi muhimbili akitafuta ma dk wa kumsaidia sababu ya pressure...habari hizi ni kutoka kipindi cha clouds fm michezo haabri...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
ooohhh yes.. ningependa kusema team za Africa .. South Africa na Kenya .. Kenya wameshinda kwenye pool yao na South Africa wameshinda kwenye pool yao... Kwa sasa ni final New Zealand and Fiji...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Ali's legendary trainer Angelo Dundee dies at 90 Angelo Dundee was in Muhammad Ali's corner for nearly all of his career. There was no way Angelo Dundee was going to miss Muhammad Ali's 70th...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salama wakuu wangu wapenda michezo.... Kwa muda mrefu nimegundua kwamba TFF ya Leodgar Chilla Tenga imekuwa ikifanya jitihada kuhakikisha kwamba Michael Richard Wambura kwa namna au njia yoyote...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau, ninakumbuka marefarii wetu waliovuma miaka ya nyuma. 1. Mohamed Nyama- Lindi. Huyu alikuwa mnazi mkubwa sana wa SImba nakumbuka kuna mechi moja ya Simba Vs Yanga aliivuruga kutokana na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Huyu jamaa ananiua sana.alivokua mwandishi pale Mwanaspoti alikuwa kinara wa kuiponda sana TFF katika makala zake za gazetini.Lakini alivoingia Tff sasa amekua kinala wa kuboronga, kujikanyaga na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Arsene Wenger hits back in war of words with President of RwandaArsene Wenger Arsene Wenger has faced a barrage of criticism for Arsenal’s poor performances in 2012 from fans and journalists...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Game between Al-masri and Ally more than 70 killed
0 Reactions
27 Replies
4K Views
...Nilikuwa na wazee wa Simba uwanja wa Jamuhuri hapa Dodoma siku za karibuni,mzee mmoja wa Simba akasema ni bora ubingwa uende kwa Yanga au Villa Squad kuliko Azama FC.Lakini pia wa Yanga nao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mpaka half time,1-1.Puyol akisawazisha kwa kichwa kutokana na mpira wa kona!COPA DEL REY SEMI FINAL FIRST LEG!
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Inatupasa wana JF wote kujumuika na kuweka tofauti zetu kando na kwenda kuishabikia Manchester united itakapokwaana na Stoke city katika dimba la old traford mida ya saa tano usiku kwa saa za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Aiseeee....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Barcelona have completed the signing of Wayne Rooney for a world record transfer fee of £83 million. After weeks of speculation, the world and European champions held off a...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Mr. Marcio Maximo Barcellos, Brazilian Professional Football Coach is serious, competent and has coaches always with good results as one may check on his honest "Curriculum" and had his capacity...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa klabu ya Simba yuko hatarini kufungiwa maisha kwa kujihusisha na rushwa katika pambano la watani wa jadi hapo Oktoba 2011.Alinaswa na viongozi wa Yanga akiwasiana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya Twiga Stars kuwaondoa wa-Namibia kwa jumla ya mabao 7-2, watavaana na Ethiopia iliyowatoa Egypt kwa jumla ya mabao 6-4.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni dakika ya 26 sasa Twiga Stars 1-0 Namibia Goli limefungwa na Mwanahamis Omar
0 Reactions
93 Replies
7K Views
Haya kwa wale wapenda tennis. Msimu wa 2011 kijana djokoviv aliwapelekesha kiina Nadal na Federer. Federer Umri unaonekana umekwenda lakini bado yumo yumo Msimu ndio Umeanza kwa AUSTRALIAN...
1 Reactions
72 Replies
5K Views
NI AJABU MNO KUONA/KUSIKIA VYOMBO VYETU VYA HABARI KUONA UFAHARI KUONESHA 'LIVE' MECHI ZA SOKA LA KLABU ZA ENGLAND NA KUACHA KUFANYA HIVO KWENYE KOMBE HILI LA AFRIKA ACHILIA MBALI LIGI YETU. KAMA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hongereni sana Manchester united kwa kutoa dozi ya kipigo cha mabao mawili kwa moja dhidi ya Arsenal tena kwenye uwanja wao wa Nyumbani,ninaimani mna uchu wa magoli.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom