Sikuwezi mkuu lol!
Mkataba wake umeisha ingawa rage anazuga...tutamng'o tu
hapana iko chezea manji bana....nimekuwa nikimpinga manji mara nyingi, lakini nafikiri kwa wana yanga kama wanataka kufanikiwa, huyu jamaa ashike manyanga awe mwenyekiti, ataifanya yanga iwe ya kibiashara sana, makusanyo ya pesa yatafanyika kibiashara zaidi, usajili utakuwa mzuri na yeye anaweza kuwa ndo mfadhili....hatuna jinsi ila kuwa na manji.....yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Makomando wa Yanga lazima wamvamie kwa staili hiyo.
Mkuu watu wa Simba hawawezi kupanic kirahisi namna hiyo, Simba ikibakiwa na wakongwe watano tu kwa maana ya Kaseja, Maftah, Nyoso, Mwinyi Kazimoto au Sunzu na Haruna Moshi tunao uwezo wa kujazia vijana kama Shomari Kapombe, Mkude, Singano, Christopher Edward na wapya wawili kwa maana ya beki wa kati na winga mmoja ambaye tayari tunaye (Kinje) bado Simba ikatisha kuliko hata iliyopita, hapo pengo la Kelvin litazibwa na beki mmoja wa kati atakayekuja, la Mafisango anaziba Mkude, la Okwi anaziba Kinje zitapigwa pasi hapo kama Barcelona.Kwa kauli za Rage na jinsi mambo yanavyoelekea nina imani huyu Mzee (Maha)Rage hana maisha marefu pale Msimbazi.
kama yanga ni mancity ya bongo, man united ya bongo ni ipi?.....Duu! Yanga a.k.a man city ya bongo
kama yanga ni mancity ya bongo, man united ya bongo ni ipi?.....