Neymar is overrated !

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Huyu jamaa Pele alidai ni Mkali kuliko Lionel Messi! Hakuna ukweli wowote! Messi hutesa sana defense Nyingi isipokuwa Chelsea. Neymar hana lolote namwangalia hapa kwenye mechi na Mexico anaanguka tu. Hadi halftime Mexico 2 Brazil 0 goals Dos Santos na Henandez (penalt)
 
Ni kweli Neymar is overrated. hata mimi huwa sioni ukali wake. Messi ni balaa. Messi is Mercilesy
Inawezekana ni overrated lakini sidhani kama mnaomuona overrated mmejaribu kuangalia mechi mbalimbali anazocheza.Kwangu sio average player huko ni kumchukia dogo yuko vizuri japokuwa ni kweli messi amefanya mamba makubwa tayari neymar ana kazi ya kujipambanua zaidi na hii ni changamoto sio udhaifu.
 
Neymar hapa watu tunahukumu game na Mexico huyu Neymar sio mbaya ila sio mkali kama watu wanavyompamba anajiharibia soka kwa madoido yake, sema EPL hawezi hata ligi zengine ni Spain tu ataweza kwa Maoni yangu Lucas moira wa Sao Paulo mkali zaidi ya Neymar. Mtu mwengine Brazil hana dili ni Ganso.
 
google goli la neymar lililopata zawadi ndipo utagundua kuwa huyo dogo anatisha...na kama ronaldino bandia alivyosema wakati analalamika kuhusu kulinganishwa na messi, huwezi kulinganish porsche na ferrari...kwa sasa messi ni wa pekee
 
tatizo dogo hana nguvu ndio maana inatakiwa aje ulaya kula mikuku apate nguvu anajua ila nguvu f..
 
Kwa mwakajana goli bora lilikuwa la wyne Rooney mimi ni shabiki wa FCB wala sina hiyana na mtu ila kiuhalisia Rooney alistahili goli la mwaka, my opinion
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom