Baada ya kumnyakua hazard,hulk sasa ni luka mondric | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kumnyakua hazard,hulk sasa ni luka mondric

Discussion in 'Sports' started by chelsea fc, Jun 3, 2012.

 1. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  wakuu na wadau wa chelsea,boss abramovich ameamua kufanya ile ktu inayoitwa overhaul,kashanyakuwa nyota wa2 matata sasa amehamia kwa luka modric kijana ambaye ni ochestra wa mpira pale katika ya dimba,nawapa pole babu fergie,wenger coz sinzani km watahimili presha ya 'game'

  Ni mimi mupenzi
   
 2. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bora anunue sasa hivi, msimu wa 2013/14 itamlazimu anunue wachezaji kutokana na faida ya club sio hela ya mfukoni.
  Hii sheria itawaathiri nyie, city na united, arsenal wanaendesha timu kutokana na mapato yao.
  Biashara ya kununua makombe itakwisha. Hapo Newcastle, tottenham, arsenal watakuwa na uwezo wa kubeba na wao ndoo.
  Pia itawalazimu washushe mishahara minono wanaolipa wachezaji wao
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hizo ni story ngoja uje usikie kikosi kitachosukwa na Fagie ndani ya Man United, usajiri si kwa presha bwana.
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  we naona unaota mchana kweupeeee....jaribu kutafuta ni club gani tajiri Uingereza halafu ndio urudi na mawazo yako yabisi
   
 5. atubariki

  atubariki JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  baba kaamua kufanya kweli jeuri ya pesa hiyo kwetu CC furaha
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  michezaji mizee na milalamishi unaisuka kwenda wapi
   
 7. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  unaweza kuniambia wastani wa umri wa wachezaji wa Man U na Chelsea ni upi kubwa???, au unababaishwa na umri wa Scholes na Giggs; utashangaa Chelsea pamoja na kununua wachezaji hata msimu unaokuja aingii kwenye Top Four list.
   
 8. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,394
  Likes Received: 6,577
  Trophy Points: 280
  msimu huu watatusikia vizuri
   
 9. K

  Konya JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  thats right, as far as futbol huko kwao ni biashara lakini kujiingiza kwa matajiri wenye mitaji mikubwa kwenye hii biashara hasa kwenye baadhi ya vilabu kumekuja kuharibu kabisa uwiano kwenye uendeshaji wa vilabu coz hawaangalii club imeingiza nn mwisho wa cku zaidi ya kulazimisha mafanikio au matokeo ya uwanjani kwa kutumia pesa zao,ndo maana leo tunaona ndani ya msimu mmoja timu inakuwa na msururu wa makocha nafikiri hii sheria itasaidia sana kuhakikisha vilabu vinajiendesha kwa faida yake na pia kubalance hata soko la wachezaji duniani pamoja na malipo yao kwa ujumla
   
Loading...