Brazil vs Argentina

Master jay

Senior Member
May 28, 2012
194
29
Brazil 3 Argentina 4, messi akitupia 3 na kuondoka na mpira. Neyr bado cha mtoto kwa Messi
 
Messi sio tu kaonyesha ukali wake kwa mtoto Neymar

kathibitisha mkali kuliko Ronaldo aliekwaa kisiki kwa jerumani mashine
 
Messi nouma ukweli lazima ubaki kuwa ukweli hakuna kama Messi kwa sasa.
 
Mtu aliyeikosa hii mechi!, kakosa raha ya mwaka! sorry mkuu uliyekuwa msibani! was such a blilliant game! iliharibu tu zile red cards 2 in the end!
 
Tatzo brazil kapeleka watoto wote kihalisia ilitakiwa nyuma maicon,alves na lucio wasikosekane ktk bak four,check argentna kaz aliyokuwa anafanya zabaleti na mascherano.itawagarimu sana ni mech ya pili mfulililozo wanachezea kichapo mexco nae alimlowesha brazl.
 
Wakuu, hivi kuna anayejua kama Stars wanacheza na Gambia leo?
maana nimeona Cot'Dvoire wametoa draw na Morocco 2-2 jana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom