NI KWELI SERIKALI YETU INASAIDIA KUKUZA SOKA? Habari zenu wasomaji wangu popote pale mlipo lisomwapo jarida hili mahiri la mpira wa miguu Tanzania,leo nimekuja na mada kuu moja iliyopo mezani je...
Francis Miyeyusho kanifurahisha sana...Full konfidensi....Matumla chaliiiiiiiiiiiiii....Hongera ngumi mawe. Ila kwa point jamani.
Source: Nilikuwepo Diamond Jubilee.
Mijawapo wa viungo walinivutia sana kwa upande wa Yanga S C kwenye Kagame Castle Cup iliyoisha wiki iliyopita mbali ya Nurdin Bakari ni huyu dogo Kijiko,japo alicheza mechi chache lakini...
Ndugu zangu wapenzi wa simba
ni vyema mkasahau yaliopiya kama nduguzetu wa libya walivyomsahau mwenzao gadafi na leo wanahangaika kutengeneza nchi ingawa nassikiliza mtumishimmoja anaitwa td...
Hivi swimming pool ya chuo ambayo kwa kweli ni moja ya swimming pool nzuri mjini, imefungwa kabisa? Kuna kipindi ilikuwa inaoperate, ila hali yake ilikuwa mbaya. Maji machafu na ilikosa kabisa...
Katika mechi ya jana uwanja wa taifa kati ya Yanga na Simba nimeshangazwa na ​waandishi wa habari wote kukaa upande wa VIP A sehemu ya kulia mwa uwanja ambayo hutumiwa na washabiki wa Yanga...
Jumamosi ya 29/10/2011 matokeo yatakuwa YANGA 1-SIMBA 6. Kipigo watakachopata hawa yeboyebo naona itakuwa kama MAN UTD VS MAN CITY. karibuni tuchangie, Nawasilisha.
Katika hali ya kusikitisha na kuhuzunisha imegundulika kuwa Simba na Yanga walipanga matokeo ya game lao la Jumapili....Na hii iliwekwa ili kuweza kuwasaidia viongozi wa Yanga ambao walikalia kuti...
chelsea oh chelsea what happened to your stamford bridge's supremacy?
What wrong with th person u give the captaincy...........?waswahili wanasema"usimcheke mto kabla haujavuka mambo.!" bado man...
Wadau kinachoendelea hapa kwa sasa ni shamrashamra na majigambo ya mashabiki,nimeona mashabiki wa msimbaz wamebeba kitu mfano wa jeneza,kisha lina rangi ya kijan na njano,kisha limeandikwa...
Nimekuw nikifwatilia mjadala unaoendelea kati ya vilabu vya ligi kuu vikiongozwa na Geofrey Nyange Kaburu na TFF ambapo vilabu vinataka ligi kuu uendeshwe na kampuni kama FIFA wanavyotaka na kama...
Mshindi wa mechi ya leo kati ya Simba ya Yanga ameshajulikana.
Ni Azam FC!
Leo hii Simba na Yanga watakapomenyana Uwanja wa Taifa kama kawaida watajaza uwanja mpaka pomoni. Ili kuwahi viti...
Huu sio ubinadamu
najua wengi watafurahia lakini ushindi wa man city 6 man u 1
sio ubindamu wafike wakati waanafunga waangalie wanachezea wapi
na wachezaji waliopo wako kiwango gani;;ingawa ni...
Wakuu leo nimesikitika sana,kuna kipindi nimeangalia ITV cha guiness sport,kuna madogo sijui wametoka wap!maswali marahis wamechemsha,walikua wanashindana na wakenya na waganda!mtu hajui hata jkt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.