Maximo kuanza kuifundisha Yanga

Maximo kuanza kuifundisha Yanga

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,441
Reaction score
166,939
Hizo ndio nyeti zilizonifikia hivi punde kutoka kwa makomandoo na vigagula wa Jangwani.
Kinachosubiriwa tu, ni Manji akabidhiwe uenyekiti wa klabu
 
Aje kuifundisha timu bora Afrika. Yanga tuna ela bhana
 
Ndio maana mkuu wa kaya kila alipokwenda Brazil tulizani anaiwakilisha nchi kumbe kuongea na Maximo. Huyu dingi apewe 2 uraia. madem wa bongo wamemdatisha.
 
Back
Top Bottom