Breaking news: Officially YUSUPH MANJI anagombea uenyekiti Yanga!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Sasa rasmi, Yusuph Manji ametajwa na kamati ya uchaguzi kuwa mgombea mmojawapo wa uenyekiti kwenye club ya Yanga kwenye uchaguzi wa marudio,wenye wivu mtajinyonga sana tu kwani YANGA itakuwa inachuana na TP mazembe na sio "Simba tv" tena.
Soarce:Time fm
 
Hiyo ni nzuri ila tuwe makini Wana-Yanga kwa sababu tukileta ujinga tutamkosa yeye pamoja na misaada yake yote. Tutulie na tuangalie amekuja na mipango gani ya kuendesha timu.
 
Yusuph Manji ........Nexus Consulting Agency at work!!!! wekeni hii kwenye kumbukumbu zenu mtakuja kujua namaanisha nini...
 
Sasa rasmi, Yusuph Manji ametajwa na kamati ya uchaguzi kuwa mgombea mmojawapo wa uenyekiti kwenye club ya Yanga kwenye uchaguzi wa marudio,wenye wivu mtajinyonga sana tu kwani YANGA itakuwa inachuana na TP mazembe na sio "Simba tv" tena.
Soarce:Time fm

Yah hii Habari ni ya kweli kabisa na Jamaa nasikia ataibadilisha timu jina na kuwa

View attachment 55668
 
Sasa rasmi, Yusuph Manji ametajwa na kamati ya uchaguzi kuwa mgombea mmojawapo wa uenyekiti kwenye club ya Yanga kwenye uchaguzi wa marudio,wenye wivu mtajinyonga sana tu kwani YANGA itakuwa inachuana na TP mazembe na sio "Simba tv" tena.
Soarce:Time fm

Yanga iwe sawa na TP Mazembe kwa lipi? Mfumo au uwezo?
 
We! We!..... Watake radhi wazee! Hawana tija wakati wana millioni, narudia tea, millioni mia saba?
 
Hiyo ni nzuri ila tuwe makini Wana-Yanga kwa sababu tukileta ujinga tutamkosa yeye pamoja na misaada yake yote. Tutulie na tuangalie amekuja na mipango gani ya kuendesha timu.
Hivi Yanga na utajili wote iliyonayo bado inahitaji misaada na siyo wadhamini? Haya ndio matunda ya CCM imedumaza mawazo ya watu wengi mpaka wanafikiria utegemezi tu wakati Yanga ni club Tajili kuliko club yoyote Tanzania.
 
Nakuunga mkono but ni miaka 77 yanga ilishindwa hata kupaka rangi jengo hadi manji alipojitolea kulikarabati mwaka juzi.Simba inamwaka wa tatu tangu waanze kupaka rangi jengo na hawajamaliza. So mi naona akili hatuna bora timu zigawiwe kwa watu wenye akili
 
Ikiwa Manji atashinda naona Pan Africa nyingine inaenda kuzaliwa. Manji ana mission anataka kuifanya hasa kuibinafsisha Yanga, kitu ambacho wanachama hawatakubali na kwa kuwa ana pesa atakuwa na makuwadi wake wapambe na wachezaji ambao amewasajili ambao wanamuunga mkono, wataanzisha timu yao.
 
bora iwe hivyo.Mfumo wa uanachama hauna tija ,hasa kwa simba na yanga. Nikuulize yanga ikimilikiwa na manji pekee kuna asara gani.Mbona chelsea ipo hivyo ikiwemo Azam
 
Hasara ni mgogoro mwingine unaoweza kutokea iwapo atashinda.
Ni bora aanzishe timu mpya kama alivyofanya Bakhresa Azam FC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom