Hebu angalia kwenye links hapa chini na useme mwenyewe!
https://p.twimg.com/AlYyfMeCMAACLdA.jpg
https://p.twimg.com/AlYzEMbCIAE6vQc.jpg
yfrog Fullsize - http://www.yfrog.com/obtuqtsj
Shame on him!
Wakuu wa salaam aleikhum. Nikisubiria mchezo wa Zambia na Ivory coast king'amuzi kimekata KBCpekee. Niangalie chanel gani? I have the star times and free to air receiver. Hapa nimepata presha...
Nahisi leo akuna atakae lalamika jamani kuhusu ushindi wa man u
wameshinda kihalali ingawa makosa madogomadogo kwa refa ayakosekani
zuri zaidi ni lile wimbi la ushindi wa penati sasaa basi...
leo,man utd imeshinda kwa haki,atakaye sema imebebwa atakuwa na lake jambo.jamani rio fedinand amechoka apumzike.Ila huyu suarez ubaguzi umo kwenye damu!kwani alipofunga bao ana ibusu ngozi yake...
Yanga wako kwenye mchakato wa kutafuta nyimbo ya timu..
sasa kwa nini wasitumie ile nyyimbo ya pepe kale aliyowaimbia?
na je nyimbo za r&b kweli zitawafaa?
au kwanini wasiwaambie sikinde ambao...
Wakuu kwa kuangalia live tv ligi zote(including payable ones),kucheki TV thousands of HD Channels(movies,series,comedy,news etc) Please go to www.firstrow.tv and prove it for yourself
Arantxa Sánchez-Vicario accuses parents of taking her £38m fortune
• Former women's world No1 says parents made her 'suffer'
• Mother attacks 'lies' designed to 'hurt and humiliate...
Thomas Vermaelen is set to make his long-awaited return from injury in Arsenal's reserve match against Manchester United on Thursday
Vermaelen has been given the green light to play in the match...
Safari ya kuelekea kwenye Superbowl XLVI (2012) kule Indianapolis, Indiana ndiyo inaanza rasmi Jumamosi ambapo kutakuwa na mechi zifuatazo:
1.Detroit VS New Orleans
2.Atlanta VS New York...
Source: Sky News Live,BBC Live and CNN Live Now.
Updates:
Capello steps down as England's coach
England coach Fabio Capello said he "absolutely" disagreed with the decision to strip John...
MAPENZI NI MAZURI PALE UNAPOPATA UMPENDAE UKAMFANYA UNAVYOTAKA
LAKINI AKIINGIA SHETANI MMOJA AKAJIFANYA ANAJUA KUPENDA BASI INAKUWA SHIDA TUUPU
UNAMJUA HUYU
"""""""""""""Howard...
Nimecheka sana kumwona paka aliyeingia uwanjani wakati Liver wanacheza na Spurs....Hata hivyo nimefurahi zaidi kwa jinsi ambavyo ametendewa kwa ukarimu na wadau wote.
Ingekuwa bongo...unadhani...
Naomba maoni tukiwakama washauri wa mmliki wa timu yetu maoni ni mazuri katika
kutoa ushauri na jinsi gani ya kuimarisha kikosi chetu cha man city baada ya kuona
inaendelea matokeo ya...
Ndugu zangu wanaJF,kwa muda mrerfuu sasa nimekua nikijiuliza nani ana mashabiki wengi kati ya klabu zetu kongwe hizi mbili,bila kutumia unazi,ushabiki wala upenzi wa timu hizi mbili,naomba...
kwenye hii link kuna picha a soka la zamani sana kutoka kwenye site ya FIFA.
Nimejaribu kuzipakua imeshindikana, hebu zitazame...
FIFA.com - England-Scotland matches throughout history
HUYU JAMAA NI ZAID YA SHOGA NA KAMA AMUAMINI ATAISHIA KULIA KWENYE NNE BORA
Roberto Mancini has revealed that he will consider Carlos Tevez for selection if he returns to Manchester City fit and...
Katika mchezo ambao vijana wa 'magamba' walitukaribisha wenyewe eti kusherekea kuzaliwa kwa chama chao, tumewapelekea gunia la mchanga kwenye pilau lao baada ya kuwatandika mabao 3 kwa 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.