Rage-tff msipobatilisha uamisho wa yondani hatuingizi timu kagame cup.

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
946
Kuna tetesi zimeshaanza kuenea hapa town kwamba SIMBA kitu kinagonga sasa wanampango wa kuiondoa timu kwenye michuano ya KAGAME CUP,pendekezo hilo limetolewa na mwt wa simba Aden Rage jana kwenye kikao cha dharula.Habari zimeendelea kuvuja kwamba baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji wamegawanyika juu ya hili na kusema kwamba mwt wao anaiogopa yanga kutokana na usajiri walioufanya msimu huu kwa kuwabomolea ngome yao ya YONDANI NA MUSTAFA BARTHEZ.
Bado nafatilia ntawajulisha nn kinaendelea.
 
haya sasa nilipata kusema humu ndni "ni heri kuutazama moto wa welding kuliko kuzisikiliza habari za simba na yanga" leo unasikia eti simba wataitoa timu yao kisa usajili wa mchezaji wao mmoja kurubuniwa na yanga jamani huu si upuuzi wa wazi kabisa huu yaani timu ijitoe kisa mchezaji mmoja kaleta mgogro?
 
Kweli safari hii 'mzee wa mguu wa kuku' Rage amepatikana...
 
Kuna tetesi zimeshaanza kuenea hapa town kwamba SIMBA kitu kinagonga sasa wanampango wa kuiondoa timu kwenye michuano ya KAGAME CUP,pendekezo hilo limetolewa na mwt wa simba Aden Rage jana kwenye kikao cha dharula.Habari zimeendelea kuvuja kwamba baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji wamegawanyika juu ya hili na kusema kwamba mwt wao anaiogopa yanga kutokana na usajiri walioufanya msimu huu kwa kuwabomolea ngome yao ya YONDANI NA MUSTAFA BARTHEZ.
Bado nafatilia ntawajulisha nn kinaendelea.

Ni dharura sio dhalula
 
haya sasa nilipata kusema humu ndni "ni heri kuutazama moto wa welding kuliko kuzisikiliza habari za simba na yanga" leo unasikia eti simba wataitoa timu yao kisa usajili wa mchezaji wao mmoja kurubuniwa na yanga jamani huu si upuuzi wa wazi kabisa huu yaani timu ijitoe kisa mchezaji mmoja kaleta mgogro?
Hamia airtel wewe!
 
Waseme wanaogopa Kupigwa 7 na si kisa Wachezaji wao. Yanga tuliingiza timu tukiwa na migogoro mikubwa sana na wachezaji hawakulipwa. Sembuse wao wachezaji wanaokaa Bench,huyo RAGE mbona anajisahau kama yeye ni mwanaume
 
Kama yanga hawajui maana ya Al-Shabab sasa ndio wataijuwa, cheza na Rage akuchezeshe Reggae.
 
Kuna tetesi zimeshaanza kuenea hapa town kwamba SIMBA kitu kinagonga sasa wanampango wa kuiondoa timu kwenye michuano ya KAGAME CUP,pendekezo hilo limetolewa na mwt wa simba Aden Rage jana kwenye kikao cha dharula.Habari zimeendelea kuvuja kwamba baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji wamegawanyika juu ya hili na kusema kwamba mwt wao anaiogopa yanga kutokana na usajiri walioufanya msimu huu kwa kuwabomolea ngome yao ya YONDANI NA MUSTAFA BARTHEZ.
Bado nafatilia ntawajulisha nn kinaendelea.

Ngome?????? Bartez kacheza mechi moja tu msimu huu. Yondani naye hajacheza mechi zaidi ya 8. Hiyo ngome inatoka wapi? Pumba tu hizo
 
Kama yanga hawajui maana ya Al-Shabab sasa ndio wataijuwa, cheza na Rage akuchezeshe Reggae.

hahahaa... Hawa jamaa sijui kwa nini hawaoni wachezaji wengine hadi waje simba
 
Barthez yule ninayemjua mimi au ali mustapha ? hamna kipa hapo
 
ACHA UOG mzee wa bastola hewani.........!!
 
M/KITI aache utoto, kwani simba bila Yondani haichezi? hiyo timu inawachezaji wangapi?
 
Back
Top Bottom