Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naisikitikia sana nchi yangu ya TZ kwa kukumbwa na tatizo la kuchanganya siasa ktk kila jambo kama vile kwenye afya ,elimu,ujenzi,michezo nk.nimekua nikimfatilia muda mrefu huyu jamaa tangu akiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kuna mtu yeyote wa kuniambia ile taarifa kuwa Ngasa kafaulu majaribio huko maerekani na atakwenda January imeishia wapi? naona sasa ni April kama sikosei na Ngasa yupo tu Azam anaendelea...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
RAGE ZITTO ZUNGU...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
YAH: TAARIFA ILIYOTOLEWA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI WA TFF JUU YA TUHUMA MBALI MBALI DHIDI YANGU YA 6/3/2012 Nimepokea taarifa za shutuma mbali mbali dhidi yangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya gemu ya jana..je Barca bado wana jeuri ya kuitoa Madrid UEFA.?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
gekuwa vipi kama matatizo aloyapata Muamba ndo yangemkuta Messi, unadhani mashabiki wa timu fulani ya Uingereza waneombea apone? Tafakari!!!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
963 Views
Mbaguzi wa Muamba kwenda jela 27 Machi, 2012 - Saa 13:29 GM...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana MAN ilishinda 2-1 dhidi ya Fulham,hii ni byby mancity.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana Jamii na wapenzi wa mpira nchini. Kwako TFF. Nawasilisha utetezi wangu kwako kuwahusu wateja wangu Yanga na wachezaji wake watano uliowapa adhabu hivi karibuni. Yanga anahusika kwa...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Kamati ya nidhamu na usuruhish ya tff imefuta adhabu walizopewa wachezaji wote wa yanga kwa sabb kamati iliyohusika kotoa adhabu ilikua imekurupukia kazi isiyokua yao.na kwamba adhabu hiyo...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Manchester United imerejea kileleni mwa EPL kwa tofauti ya points tatu baada ya ushindi wake wa bao moja dhidi ya Fulham.Bao hilo pekee lilifungwa na Wayne Rooney muda mchache kabla ya...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Kutokana na mwenendo usioridhisha wa Inter Milan,klabu hiyo imemtimua kocha wake Ranieri.Wakati huohuo,ikikabiliwa na kibarua kigumu dhidi ya Barcelona hapo kesho,klabu ya AC Milan inaandamwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inter Milan wamemtimua kocha wao Claudio Ranieri baada ya kushinda mechi moja kati ya 10 za ligi. Hapa tunajua wazi nani anaenda kuchukua hiyo nafasi: Andre Villas-Boas
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuweza kujua idadi ya watazamaji wakati mpira unakaribia kwisha ni hatua kwa kweli..
0 Reactions
10 Replies
2K Views
We wish him a very speedy recovery SAMATA out for ten days! The scorer of the goal against Power Dynamos of Zambia in Kitwe, the attacker Tanzanian Mbwana Ally SAMATA will be sidelined for 10...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF, jioni ya leo kutakuwa na Mechi kati ya Man U ikipambana na timu ya Mwarabu,Fulham. Wana Man u tuiombee timu yetu ili tuzidi kuiacha Man City........NAWASILISHA
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu kwa mwaka wa tatu sasa huwa nacheza kamari kwa kubet mechi za soka hasa ligi ya Uingereza pale New Africa Casino through ladbrokes tokea nasoma IFM na hadi sasa kwa miaka mitatu nimepoteza...
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Mie nashangaaa sana....yaani leo kila sehemu ni simba simba eti wanawapa dole tupu kwa kuifunga timu dhaifu ya aljeria....hakuna m[pira wowote tz aisee msiwape sifa wala nini.....waambieni wapige...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wapenda soka naona mashabiki wanazidi kuingia uwanjani kusubiri mtanange unaotarajia kuanza punde karibuni tupeane update,simba oyeeeeee! FT:simba vs Es setif 2:0
0 Reactions
21 Replies
6K Views
NDUGU ZANGUNI BADO TUNAWEZA KUREKEBISHA MATOKEO LAKINI MPAKA DK YA 63 MAGOLI NI KAMA HAYO HAPO JUU DUA ZA WATANZANIA MZIDI KUIOMBEA SIMBA TUWEZE KUTAFUTA HATA DRAW gUDNYT ALL
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom