Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

''When I left Barcelona, I said to myself: ‘I’m leaving the best team in the world but there is a person having a problem with me. He’s not a man, not telling me what the problem is. But without...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
watch es setif vs simba sc en direct 06-04-2012 en streaming
0 Reactions
16 Replies
3K Views
WANA JF SIMBA WAMESONGA MBELE. cLOUD EFIEM MABINGA WA KUKANDIA NA SASA HIVI WAJIFANYA KUSIFIA WANA UZALENDO AU NAO NI MAGAMBA. PUMBAVU ZAOOOO
4 Reactions
0 Replies
1K Views
hadi dk 42 kipindi cha kwanza ,setif wanaongoza kwa bao moja,na simba wanacheza pungufu! Nyosho ametolewa kwa kadi nyekundu.source michezo na magic fm.
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Hello sports guys, I have just noticed that I cant access/see ss7 and ss10 on DSTV. I have suscribed to a Premium Package. Earlier i used to access these channels.Is anyone having an idea if...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau uko algeria mambo yako vp kwa mnyama SIMBA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SIMBA kesho inashuka kwenye Uwanja wa Mei 8, 1945, jijini Setif, Algeria; uwanja ambao una historia ya kipekee nchini humu. Tarehe 8, Mei mwaka 1945, majeshi ya Ufaransa iliyokuwa ikiikalia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Tibaigana na kamati yake kwa mara nyingine eti ameirudishia yanga Point zake tatu ambazo walikuwa wamepokwa juzi kwa kumchezesha Canavaro. kama kweli basi nitaachana...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
unapozungumzia mchezo wa Soka basi kwa namna moja ama nyengine hutaacha kuitaja klabu ya soka ya AC Milan kuwa ndio timu ama Baba wa soka ulimwenguni. Milan ni timu ya kila Siku, utawala wa...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Soka la Tz limekuwa halipandi kwa sababu za kuingiza siasa za Uyanga na Usimba katika mechi za kitaifa na kimataifa. Ninachoomba kwa sakata hili la Yanga kuhusiana na adhabu walizopewa, Yanga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Marselle vs bayern munich APOL vs real madrid benfica vs chelsea ac milan vs barcelona semi final marsell or munich vs apol or madrid benifica or chelsea vs milan or barca final...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani mbona kimya,Tutaarifiane kuhusu rufaa ya wachezaji wa Yanga,au shaffi bado hajapewa matokeo? Tehe! Tehe!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenye kujua wapi naweza pata meza (na vifaa vinginie pia) vya mchezo huo hapa Dar tafadhali saidia. Kama utweza pata na bei pia itakuwa vizuri zaidi. Thanks in advance.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Amakweli clouds wanazidi kujionesha wana maslahi na simba.Nilimsikia kibonde akifanya kampeni kwenye kipindi chao cha jahazi cha jana waliacha kuzungumzia maswala ya kijamii kama kawaida yao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Barca 1-Milan 0
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mabingwa watetezi wa kabumbu nchini Dar Y.A. leo/jana (samahani, sina hakika na saa yangu) walikuwa wageni wa Coastal Union huko ugosini ambapo muda wa mchezo uliisha kwa mabingwa hao watetezi...
2 Reactions
73 Replies
9K Views
hatimaye dk za lala salama blackburn amekubali kuipa manutd point 3 muhimu!game lilikuwa gumu sana,vijana wa ot,leo hawakuwa mchezoni kabisa!hadi dk 81 antonio valencia akaipatia bao la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba kufahamishwa eneo au mahali gani nitapata vifaa vya michezo kwa mfano vyuma,maana nahitaji kunyanyua vyuma vya uzito mbalimbali, mimi naishi bagamoyo,tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Ni Hamisa Willy katika pambano la kimataifa lisilo na mkanda kapigwa tko roundi ya 4 na Catherin Phir wa zambia! Hoi! Source tvz2.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom