Simba wanapata bao la pili....ni Boban!!
simba haifiki kokote!
Yanga daima mbele.....
Mh! Wiki hii hatutalala.
Mkuu hutalala kwa furaha ya wekundu kushinda au kwa kupigiwa kelele kutokana na ushindi wao? Hamia Madepwende!:violin: