Zitto Kuwaongoza wabunge kuishangilia Simba

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
[h=3][/h]
RAGE
ZITTO
ZUNGU
MANGUNGU


WABUNGE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanatarajiwa kuungana na timu ya soka ya Simba kwenye mechi yake ya marudio ya kombe la Shirikisho (CAF) dhidi ya Es Setif ya Algeria wiki ijayo nchini humo.

Mwenyekiti wa Simba, Alhaj Ismail Rage ambaye pia ni Mbunge wa Tabora Mjini (CCM) alisema wabunge hao wenye mapenzi na timu hiyo wanakwenda huko kwa ajili ya kuipa sapoti timu hiyo katika mchezo huo muhimu.
Aliwataja wabunge wengine
 
Back
Top Bottom