Mie nashangaaa sana....yaani leo kila sehemu ni simba simba eti wanawapa dole tupu kwa kuifunga timu dhaifu ya aljeria....hakuna m[pira wowote tz aisee msiwape sifa wala nini.....waambieni wapige tizi...
haya endeleeni kuwapa kichwa.....mimi siwezi kuwa shabiki wa kilabu kama yanga simba hata siku moja.......
simba hamna lolote,subirini vipigo mfululizo muanze kugombana.
Afadhali umemchana live mshamba huyo.....Acha wivu kwa taarifa yako lig ya algeria uwez ilinganisha na ligi ya bongo na timu unayoiita dhaif ndo inaongza ligi ya kwao,pole hao ndo simba utakufa na roho mbya zko.
Afadhali umemchana live mshamba huyo.....
.....mimi siwezi kuwa shabiki wa kilabu kama yanga simba hata siku moja.......
Ha ha ha! Ni kweli mkuu we timu zako ni kama baca, man u, madrid na umezoea sana miji yako ile kama milan, LA, Stockholm! Kule ndo kwako mkuu. Simba tuachie sisi wa kariakoo ndio chetu, acha tujivunie tulicho nacho!haya endeleeni kuwapa kichwa.....mimi siwezi kuwa shabiki wa kilabu kama yanga simba hata siku moja.......
endeleeni kupeana sifa....nawaambieni mkawaambie wachezaji wenu wafanye mazoezi na waache anasa na wale chakula bora....basi wataendelea kupata matokeo kama haya....Sasa kama ulijua ni timu dhaifu, ilikuwaje ukanunua jezi yao kwenda kuwashangilia? Yanga bana!
Ngoja tuwape dole Yanga.....Mie nashangaaa sana....yaani leo kila sehemu ni simba simba eti wanawapa dole tupu kwa kuifunga timu dhaifu ya aljeria....hakuna m[pira wowote tz aisee msiwape sifa wala nini.....waambieni wapige tizi...
Simba ni wanaume siyo kama yanga wana toa sare nyumbani...kumpga kibonde nalo limekuwa neno hapa?,ngojen wakachukue 4 algeria,. simba hovyo tu
arifu sina hizo mie.....ila nawaambieni hamtafika popote kama hawatadfanya mazoezi kwa bidiii na kuzingatia chakula bora....yoyo ana wivu wa kike.............