Inter yatimua kocha,milan majeruhi kibao...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Kutokana na mwenendo usioridhisha wa Inter Milan,klabu hiyo imemtimua kocha wake Ranieri.Wakati huohuo,ikikabiliwa na kibarua kigumu dhidi ya Barcelona hapo kesho,klabu ya AC Milan inaandamwa na majeruhi wa kutosha.Wachezaji ambao hadi sasa ni majeruhi ni Robinho,Pato,Abate,Merkel na Thiago Silva.Barcelona watamkosa David Villa tu ambaye kimsingi amerithiwa na Sanchez na Tello...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom