ALFRED TIBAIGANA aka MTAMBO WA SHERIA NA TARATIBU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ALFRED TIBAIGANA aka MTAMBO WA SHERIA NA TARATIBU

Discussion in 'Sports' started by yahoo, Mar 29, 2012.

 1. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Naisikitikia sana nchi yangu ya TZ kwa kukumbwa na tatizo la kuchanganya siasa ktk kila jambo kama vile kwenye afya ,elimu,ujenzi,michezo nk.nimekua nikimfatilia muda mrefu huyu jamaa tangu akiwa jeshin . Ni kiongozi asiyefanya maamuzi kisiasa, kufata uvumi au kufrahsha watu .naombea awe waziri aujapo awe raisi wa hapo tff tu ili awafundishe watz adab ya jinsi ya kufata taratibu...poleni sana watz mnahitaji kina magufuri na tibaigana angalau 25 tu ili muendelee bahat mbaya hata wa5 hawajafika .mfano bila yeye tungejuaje uozo uliokithiri na ukiukwaji wa taratibu pale tffffffffffffffff ffffff ?
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kama hana maslahi fulani hapo, basi atakuwa amejaribu.
   
 3. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  unaona mlivozoea siasa! Kwani mtu ukifata taratibu unamasrahi binafsi?
   
Loading...