Valid_Options
Member
- Nov 13, 2010
- 43
- 0
Wakuu kwa mwaka wa tatu sasa huwa nacheza kamari kwa kubet mechi za soka hasa ligi ya Uingereza pale New Africa Casino through ladbrokes tokea nasoma IFM na hadi sasa kwa miaka mitatu nimepoteza kama dola elfu 18 ila kuacha nashindwa kwa sababu natumai iko siku nitashinda na kurudisha pesa zangu lakini kila nikijaribu kubet huwa naliwa tu. Naombeni sana msaada wenu jamani nitaachaje hii kitu maana pamoja na kuliwa pesa huwa sina raha kabisa maana waweza kubet say Arsenal to win lakini hadi half time unashangaa washapigwa 2 yaani huwa napata presha iko siku nitakufa kwa ugonjwa wa moyo