Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nova2010 FC yachapwa 58-0 Wakuu na wachezaji wa timu moja inayocheza soka ya mitaa au bustani, wanajitahidi kutathmini kilichotokea na kusababisha kinachoaminika kua kipigo kikubwa kuwahi kutokea...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Mchezaji wa kulipwa wa mpira wa kikapu wa Tanzania, Hasheem Thabeet amechukuliwa na klabu ya Portland Trail Blazers inayoshiriki kwenye Ligi ya Mpira wa Kikapu nchini Marekani (NBA) kutoka klabu...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Ligi imefika patamu sasa,sisi Manu tunachekelea tu kwani mechi zetu zilizobaki ni nyepesi ukilinganisha na jirani zetu.Leo wana kibarua kigumu kwa stoke.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hatimaye Barcelona imerudi kwenye mbio za ubingwa baada ya mfulululizo wa Madrid kutoa suluhu. wakati jumapili walitoa suluhu ya 1-1 na malaga kwa free kick ya dakika za mwisho leo pia wametoa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani wapenzi na wadau wa Simba SC tupeane habari za mechi ya kesho, naona kimya mno hapa jukwaani. karibuni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kwa wale wasiojua kitu chochote kuhusu "Supper rugby" kuweni nami hapa nitajaribu kadiri ya uwezo wangu ku explain kuwajulisha machache ni ya juao . South Africa, Australia na New Zealand ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kuna mtu yoyote ana information na huyu mtu (John Stephen Akhwari) yuko wapi na anafanya nini?. Watu kama hawa wanapaswa kutuzwa kwa uzalendo walionyesha hasa kwa kizazi chetu cha sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waungwana Game ya Jana MancityvsChelsea was very compettive, the absence of terry meant we were to loose. but vijana wamecheza kiume, i belive with this spirit we gonna cause some problems to the...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Wanapaswa kupongezwa....ni game yao na Simba.....
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Pamoja na manchester city kushinda jana tunaimani kubwa na ubingwa wa EPL kwetu sisi Manu.Na itakuwa vizuri sana kama mechi ya mancity na Manu iamue bingwa.
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Siku 2 zilizopita tff kupitia mzee tenga wamemzawadi sh.laki tano mwamuzi muisrael mkongo eti kwa kumudu mchezo kati ya yanga na azam.sitaki kuzungumzia kama kweli alimudu ule mchezo au lah.pia...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Soka la waafrika wazimu mtupu...... NINAVYOFAHAMU PIUS KISAMBALE NA ATHUMAN IDD 'CHUJI' NI NDUGU WA TUMBO MOJA, HUKU ATHUMANI IDD AKIWA AMEZALIWA TAKRIBANI MIAKA MIWILI KABLA YA PIUS. SWALI LA...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Hasheem amekua traded kwenda Blazers, atapata muda kidogo wa kucheza kwa sababu center wa Blazers Marcus Camby ameenda Rockets...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
hivi soka letu linaelekea wapi? Mnaona jinsi tfff wanavokurupuka kwa kufanya maamuzi ya kufurahisha hadhira! Huyu j.tegete amefungiwa miezi 6. Ni kweli alistahili adhab kwa kuingia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mchezaji nguli wa Barcelona,Lionel Messi anaongoza kwa kipato kati ya wachezaji wote wa kandanda duniani.Hii ni kwa mujibu wa kipato cha mwaka mzima wa jana.Messi anafuatiwa na David Bekham na...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nimefurahishwa na moyo wa wana jf kwenye tukio la mchezaji mwafrika mwenzetu mwamba naamini kinachooendelea ni maombi yako na yangu ndio yamemfanya hata kumjua shori wake na kumtambua leo hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tHE MATCH BETWEEN TOTTENHAM AND BOLTON HAS BEEN ABANDONED... THIS IS NOT LOOKING GOOD AT ALL FOR A CONGOLESE/BRITISH TETESI NI KWAMBA FABRICE MUAMBA AMEPATA ATTACK AND HE IS FIGHTING FOR HIS LIFE
1 Reactions
129 Replies
10K Views
Dr Sanjay Sharma revealed “one or two players” were due to have tests on Monday but now the whole of the squad wants to have the tests. Sharma also stated incidents such as Muamba’s are uncommon...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Jamani zinahitajika jezi za wapinzani wa simba kwenye kombe la CUF, Es Setif tukawashangilie kwa nguvu zote siku hiyo,nasikia zimeanza kuuzwa mtaani.tafadhali wana jf nipeni maelekezo pa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom