Huyu si mtu. Ila ni ndege aina ya mwewe, mali ya timu ya soka ya SL Benfica, yenye maskani yake katika uwanja wa Luz mjini Lisboa, Ureno.
Yeye huruka kuzunguka uwanjani na kuja kutua katika nembo...
Sijui kwa nini marefa wanapokosea ktk mechi wachezao man utd kila mtu anadai wanapendelewa, lakini makosa kama hayo yanapotokea 'to the advantage of teams other than man utd', watu wana-mute 'as...
wadau naomba mnijuze ilivyokuwa mpaka mwamuzi alivyoamua kumshushia kipondo mchezaji ktk ligi ya DRFA hii inasikitisha sana kama sio kuchekesha wa Tanzania tuna vijimambo sana
Wakuu leo j3 ya pasaka niko nyumbani nikiwa napitia gazeti la mwananchi nimekutana na habari iliyo nifanya niandike hapa. Katikati ya gazeti kuna jarida la mwananch 2 ambalo ni maalum kwa habari...
Mikel Arteta: "Well, the result was so important, Chelsea won yesterday against Wigan while Newcastle have been very consistent over the last few games as well and Tottenham are still there, so...
MWANAMICHEZO na mfanyabiashara maarufu nchini, Azim Dewji hivi karibuno alielezwa kukunwa na mafanikio ya timu ya Soka ya Taifa ya Zambia`Chipolopolo', na kuthibitisha furaha yake kwa kumpatia...
What do Kenenisa Bekele, Tirunesh Dibaba, Derartu Tulu and Fatuma Roba have in common, apart from being Olympic gold medal-winning runners? They all come from Bekoji in Ethiopia – and they...
Balotelli akiri kutoka na changudoa wa Rooney
Mario Balotelli
LONDON, ENGLAND
NYOTA mtukutu wa Manchester City, Mario Balotelli, wiki hii ameibuka na kuanika hadharani kwamba aliwahi...
Samahani sana kwa wale wenye kutawaliwa na jaziba.
naomba nijibiwe swala langu hili linalonisumbua. Toka nizaliwe mpaka leo kila nionapo picha ya Bikra maria huwa naona vazi lake ni Hijabu, lakini...
Full time Simba 1 Setif 3
aggregate 3-3
Simba wamesonga mbele kwa faida ya goli la ugenini
angalia goli la okwi hapa (mods mnaweza kunisaidia kuiweka hiyo video clip hap)...
majumuhisho ya mijadala yetu katika forums mbalimbali juu ya mwendo wa kusuasua kwa maendeleo ya soka nchini ni udhaifu kt uongozi wa vilabu na siasa, naombeni mawazo yenu wakuu
Wazee japo soka la bongo linanikera sana.....leo nitaufuatilia hu mtanange....nawaombea simba washinde......mji wa setif ni baridi kali kwa sasa ni 9°C ambayo itawaathiri sana wana simba.....
Akuna raha kama mtu anaejua ajui akajitapa na kuamini akuna mwingine kama yeye
kama vile niliota jana nikamwambia rafiki wangu shafii wa clouds simba watarudi kwa aibu dar kama uamini ni dk ya 79...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.