Natazama Simba na Yanga
wachezaji wanatoa pasi za upofu sana
yaaani mchezaji anapeleka pasi eneo ambalo hakuna mchezaji wa timu yake
kingine naona jinsi ya ku cover nafasi ni kama wachezaji wetu...
The bronze statue, unveiled last June, was broken in half and the torso, arms and head removed.
The motive for the damage was not clear but city officials say repairs to the statue are already...
Chelsea boss Antonio Conte has set a new Premier League record after being named Manager of the Month for December - receiving the award for an unprecedented third consecutive month.
The Italian...
Jamani wadau,
Naomba maelezo kidogo, hizi lotto games ambazo mara nyingi huchezeshwa Marekani kwenye baadhi ya majimbo yake, kuna watanzania walioshiriki na kushinda ama scam wa Nigeria.
Juma Abdul aonyesha umbo lake dogo halimzuii kutembeza ubabe, apambana na Banda wa Simba..
Beki Juma Abdul wa Yanga ndiye amekuwa gumzo zaidi mitandaoni kutokana na kuonyesha ubabe wake.
Abdul...
Kwanza kabisa nikupe hongera na pongezi za dhati kwa kufuzu kutinga fainali!
Kwa hatua ile, si kwamba ulistahili bali ulibahatika kusonga mbele. Ni kanuni na taratibu tu za soka jinsi zilivyo...
Niliona mapema kuwa Lwandamina si mkaaji sana Yanga kutokana na mambo kadhaa, likiwepo kuwa ambalo halijui ni kuwa kuna siasa za mpira na pia yeye ana kiburi au majidai fulani tofaut ya Pluijm...
Kitendo cha Diamond kuchagulia kutumbuiza AFCON ni cha kupongezwa sana ila hakiachi tusifanye tafakuri jadidi
Kwamba Mtanzania amefuzu kwenda kutumbuiza huku TIMU YA TAIFA IKISHINDWA KUFUZU...
Wakuu habari za leo,
Napenda kuiweka hii hoja mezani ili tuishauri shirika la Michezo Tanzania. Inashangaza sana uwanja wa mpira wa Zanzibar wa Amani ndio huo unaotumiwa kwa gwaride na shughuli...
Kunguru kumyea binadamu sio kujua kulenga shabaha bali ni bahati mbaya tu, Yanga ilifungwa kwa bahati mbaya tu sio ufundi wa Simba na Azam. Hata hivyo Plujin ni bora kuliko Lwandamina, over!!!
Wafalme wa Kandanda Tanzania Bara na wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Club bingwa Africa jana walitolewa katika hatua ya nusu fainali baada ya kufungwa na Mahasimu wao Simba kwa penalt...
Kombe la Mfalme Spain, Atl Biblao Vs Barcelona kipindi cha kwanza ndo kimeisha Barcelona yupo nyuma kwa Magoli mawili ya Biblao.
Japo Biblao anamsubua Barca mechi nyingi wanazokutana ila leo...
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, mchana huu imemtangaza, Aristica Cioaba, kuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho.
Cioaba, 45, anakuja Azam FC kurithi mikoba ya Mhispania Zeben...
A BE CHE hizi ni za kombe la mwaka huu tu.. nazo ni kama ifuatavyo;
A:Timu iliyofanya vibaya katika michuano hii [Iliyoaibisha timu zinazoshiriki VPL]
1. Yanga
Imekua ya pili katika kundi lake...
Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
Wadau toka amekuja huyu kocha Lwandamina naona kiwango cha klabu yetu ya Yanga kinashuka kwa kasi ya ajabu sana... Yaani tumekua Yanga Mdebwedo yani sisi wakupigwa Goli nne na Azam... Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.