Kwa mpira leo wa Barcelona hata angecheza na Zimamoto/Jangombe Boys angefungwa tuu

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Kombe la Mfalme Spain, Atl Biblao Vs Barcelona kipindi cha kwanza ndo kimeisha Barcelona yupo nyuma kwa Magoli mawili ya Biblao.

Japo Biblao anamsubua Barca mechi nyingi wanazokutana ila leo kiwango cha wazee wa Catalunya hapana, wanapoteza mipira sana.

Wachezaji wamechoka, beki hazina mawasiliano. Tusubiri cha pili Enrique atakuja na plan gani.

____Umtiti vs Aduriz_____
 
Kombe la Mfalme Spain Atl Biblao Vs Barcelona Kipindi cha kwanza ndo kimeisha Barcelona yupo nyuma kwa Magoli mawili Ya Biblao.

Japo Biblao anamsubua Barca Mechi Nyingi wanazikutana ila leo kiwango cha Wazee wa Catalunya hapana wanapoteza mipira sana,Wachezaji wamechoka,Beki hazina mawasiliano.

Tusubiri cha pili Enrique Atakuja na Plan Gani.

____Umtiti vs Aduriz_____
Biblao
Bilbao
 
Kombe la Mfalme Spain, Atl Biblao Vs Barcelona kipindi cha kwanza ndo kimeisha Barcelona yupo nyuma kwa Magoli mawili ya Biblao.

Japo Biblao anamsubua Barca mechi nyingi wanazokutana ila leo kiwango cha wazee wa Catalunya hapana, wanapoteza mipira sana.

Wachezaji wamechoka, beki hazina mawasiliano. Tusubiri cha pili Enrique atakuja na plan gani.

____Umtiti vs Aduriz_____
 
Mashabiki ubwabwa. Huwezi kushinda siku zote hata uwe na timu nzuri sana.Bado kuna siku utafungwa au kutoka sare.
 
Yangu macho tusubiri, Jana Messi dk 90 ndo kaamua matokeo la sivyo ngoma ingelala
 
tatizo la mashabiki wa barca hawataki kuamini kuwa timu yao inahitaji mabadiliko wao wanatetea tu...Ngojea zidane abebe kombe kwanza ili wajipange.
Jamaa wabishi ukiwa ambia now wana tembelea jina tu wana bisha
We waache
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom