Tanzania lini tutaingia kombe la dunia mana ni miaka mingi

hausa urrasa

Member
Jan 11, 2017
71
26
Hahahah aiseee inashangaza sana tunakuwa na ushinda ndan tu na si nje sasa lipi linalofa tushindwe kuingia kombe la dunia
 
Mkuu inatushinda CHAN, CAF, huko sio saizi yetu. Sisi yetu ni yaleeeeeee.....Ushanielewa
 
hadi tutakapokuwa nchi wenyeji

74630038.jpg
 
Back
Top Bottom