Ichoki cjawai kukiona kikitokeaWadau naomba kuuliza sheria za FIFA zinasemaje mchezaji wa Mpira wa miguu akibanwa na mkojo sana wakati mechi inaendelea anatakiwa afanyaje?
Si rahisi sana kutokea Coz mpira ni kila baada ya 45 minutes. Kibofu cha binadamu kinajaa Kila baada ya masaa 3.Wadau naomba kuuliza sheria za FIFA zinasemaje mchezaji wa Mpira wa miguu akibanwa na mkojo sana wakati mechi inaendelea anatakiwa afanyaje?
Ujaaji unategemea na maji anayokunywa mtu.Si rahisi sana kutokea Coz mpira ni kila baada ya 45 minutes. Kibofu cha binadamu kinajaa Kila baada ya masaa 3.
Afu la pili unapocheza mpira unatoka jasho linalofanya maji mwilini kwa kiasi kikubwa yanatoka na jasho. So physiologically si rahisi kujaza kibofu kwa Dk 45. Si Dhani kama iliwahi tokea. Na kama inatokea mchezaji husika ni mzembe Coz mapumziko ni pamoja na kumaliza hayo.
Anyway rare things it may happen. Ngoja waje wanasheria waseme. Mimi nasemea kwa professional yangu ya udaktari na human physiology
Haaaaaahhh haaahhh..! Net inazingua wacha nihamie 4GWadau naomba kuuliza sheria za FIFA zinasemaje mchezaji wa Mpira wa miguu akibanwa na mkojo sana wakati mechi inaendelea anatakiwa afanyaje?
Lakini pia kuna Issue ya Symptomatic and parasympathetic nervous system. Nazo huhusika sana kwenye hii Issue.Wadau naomba kuuliza sheria za FIFA zinasemaje mchezaji wa Mpira wa miguu akibanwa na mkojo sana wakati mechi inaendelea anatakiwa afanyaje?