James delivered on a promise from two years ago to bring a championship to his native northeast Ohio, and he and the Cavs became the first team to rally from a 3-1 finals deficit by beating the...
Soka ni moja kati ya michezo yenye kutoa matokeo ya kushangaza sana sometimes.
Achana na matokeo yaliyowahi kuishangaza Dunia kama Brazil kula wiki (7) na mengineyo,michuano ya Kombe la Mapinduzi...
Huo ni mtazamo ambao punde si punde utazaa uhalisia
Hii so betting hivyo tunapojadili tuweke mapenz pemben
Huu mtazamo utakuwa halisia kwa kuwa so kweli yanga wamedrop kiwango
Kuelekea 'big match' ya michuano ya kombe la mapinduzi katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika kesho Jumanne Januari 10, 2017, uchambuzi huu unaonesha kuwa itakuwa ni ngumu sana Yanga kuepuka...
Ikiwa leo Kombe La Mapinduzi ndiyo linakata utepe.. namleta kwenu mbabe wa kombe hili [bingwa wa kihistoria wa Kombe hili].. Simba SC.
Kombe hili mpaka sasa tangu limeanzishwa lina miaka 10...
Shirikisho la mpira wa miguu duniani(FIFA) limeamua rasmi kuongeza timu shiriki za michuano ya Kombe la Dunia kutoka 32 za sasa mpaka 48.
- Aidha mabadiliko haya yanatarajiwa kuanza kutekelezwa...
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, mchana imemtangaza, Aristica Cioaba, kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho.
Aristica Cioaba (45) anakuja Azam FC kurithi mikoba ya Mhispania Zeben...
Wakati Yanga ikijiandaa kupokea kipigo kingine kwa Simba kesho,Mido wa Azam FC ametonesha kidonda kwa kuidharau Yanga.Abubak Sure Boy amenukuliwa na media akisema walikuwa waipige Yanga goli 7 ni...
The Federated States of Micronesia national under-23 football team maarufu kama Four Stars. Mnamo tarehe 3 July 2015 ilicheza mechi yake ya kwanza (Debut) dhidi ya Tahiti katika mashindano ya...
Niliwahi kusema hili katika post yangu titled "makocha wazawawa uingereza wanadumaza soka la nchi yao". Nilipata hofu kubwa juu ya mpira wa mazoea wa waingereza hasa kwa timu kama Arsernal...
Hakika kila mbabe ana mwamba wake, hivi ninavyoandika hii Dk 45 za first half zimemalizika na kwa kweli Azam ndio waliokuwa juu kwa kila kitu na kila idara.
Kumbe Yanga ni timu mbovu kiasi hiki...
Kombe la Mapinduzi linaendelea mjini Zanzibar na mechi ya kwanza siku ya leo ni Simba anakabana koo na Jang'ombe Boys. Suluhu au ushindi kwa Simba vitamfanya aongoze kundi, ushindi kwa Jang'ombe...
Nianze kwa kutoa Pongezi kwa Shirikisho la Mpira Uganda(FUFA),Jopo zima la Ufundi Timu ya Taifa chini ya Mtaalamu Micho Kashafundisha Yanga Huyu Na Kwa Timu Ya Taifa Ya Uganda(Uganda Cranes) kwa...
je, kutokana na ukata unaoikabiri timu yetu ya Yanga, kuna uwezekeno mechi ya Jana ikawa iliuzwa kwa timu ya Azamu?
hapa kuna uwezekano mkubwa kabisa ama wachezaji kununuliwa au makubaliano baina...
Kwa kweli kila nikisema ninyamaze roho inakataa,nimeona nisikae na kitu kikaniuma,imeniuma sana,imenisikitisha sana,hakika yanga wanastahili adhabu kali sana,watu gani hawana huruma nabinadam...
Haijalishi ni nani atamrithi , lakini naomba nikiri kwamba huyu ni kati ya makocha wabovu kabisa waliowahi kufundisha Timu ya Taifa .
Hakuwahi kuwa na rekodi yoyote ya ubora kwenye kazi yake ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.