Yanga kumfukuza Landamina kutokana na matokeo Mabaya?

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Niliona mapema kuwa Lwandamina si mkaaji sana Yanga kutokana na mambo kadhaa, likiwepo kuwa ambalo halijui ni kuwa kuna siasa za mpira na pia yeye ana kiburi au majidai fulani tofaut ya Pluijm ambaye anajua kuwa anahitaj kunyenyekea ili mkono uende kinywani.

Matokeo ya mechi mbili zilizopita ni tatizo lingne likijumuika na lile lake la kutotaka hata kuwanyenyekea wachezaji.
 
Babu Pluijim ni fundi na angeifikisha Yanga mbali sanaa ila viongozi wetu na mashabiki wengi sio wavumilivu. Tangu siku ya kwanza kusikia zengwe la kumtoa babu na kumleta Lwanadamina nikajua wakati wa vikombe na furaha Jangwani umeisha na muda wa vipigo, aibu na migogoro umewadia. Lwandamina aliifikisha fainali Zesco kwa sababu alizungukwa na watu wenye weledi wa soka kuanzia viongozi, wachezaji, na shabiki, sasa hapa Yanga kazungukwa na wababaishaji wengi wakiwemo viongozi, wachezaji na shabiki. Wachezaji wavivu na hawajitambui. Hawapendi mazoezi magumu, wanategemea ushirikina na propaganda za kuuza na kununua mechi.
 
Babu Pluijim ni fundi na angeifikisha Yanga mbali sanaa ila viongozi wetu na mashabiki wengi sio wavumilivu. Tangu siku ya kwanza kusikia zengwe la kumtoa babu na kumleta Lwanadamina nikajua mwisho wa vikombe na furaha Jangwani umeisha na muda wa vipigo, aibu na migogoro umewadia. Lwandamina aliifikisha fainali Zesco kwa sababu alizungukwa na watu wenye weledi wa soka kuanzia viongozi, wachezaji, na shabiki, sasa hapa Yanga kazungukwa na wababaishaji wengi wakiwemo viongozi, wachezaji na shabiki. Wachezaji wavivu na hawajitambui. Hawapendi mazoezi magumu, wanategemea ushirikina na propaganda za kuuza na kununua mechi.
ni vigumu sna kwa.Mungu kumbadilisha shetani,ni rahisi mno kwa shetani.kuwa danganya watu wa Mungu hahahahhahaahha..Bob Marley alisema time.will tell .
lwandamina unajua tatizo huku ifahamu tz.
 
Mzambia safari njema. Niyonzima andaa mabegi yako. Haji mwinyi jitathmini tena. Dida sometimes mizaha itakuponza.
 
Hafukuzwi. Bado yupo sana na anafanya makubwa.
Watu waliozoea matopeni labda ndiyo watataka aondoke. Haondoki leo wala kesho
 
Babu Pluijim ni fundi na angeifikisha Yanga mbali sanaa ila viongozi wetu na mashabiki wengi sio wavumilivu. Tangu siku ya kwanza kusikia zengwe la kumtoa babu na kumleta Lwanadamina nikajua mwisho wa vikombe na furaha Jangwani umeisha na muda wa vipigo, aibu na migogoro umewadia. Lwandamina aliifikisha fainali Zesco kwa sababu alizungukwa na watu wenye weledi wa soka kuanzia viongozi, wachezaji, na shabiki, sasa hapa Yanga kazungukwa na wababaishaji wengi wakiwemo viongozi, wachezaji na shabiki. Wachezaji wavivu na hawajitambui. Hawapendi mazoezi magumu, wanategemea ushirikina na propaganda za kuuza na kununua mechi.
kuuza na ..........
 
Back
Top Bottom