Kigezo ni ujuzi wawapo uwanjani, ujasiri wa kufanya mambo tofauti na inavyo tarajia, japo wengi hawakupata nafasi vilab vikubwa.
1. Weah (liberia)
2. Patrick mboma ( Cameroon) ,
3. Okocha
4...
Kama ni swala la kiufundi tunajua wazi hana uwezo huo. Kama ni swala umaskini wa TFF kwa kisingizio kocha mzalendo, mbona wapo wazalendo wengi wazuri kuliko yeye.
Je nini malengo ya TFF kwa timu...
Chinese club to offer Alli bonkers $1m per WEEK
A number of Chinese clubs are willing to offer Tottenham midfielder Dele Alli $1 million a week to move to their Super League. They are willing to...
Nanukuu...
BEKI mkongwe wa Simba raia wa Zimbabwe, Method Mwanjali leo amethibitisha tena kuwa anastahili kuitwa 'Baba mwenye nyumba' baada kuonyesha umahiri mkubwa kwenye mchezo wa kombe la...
habari wadau..
hivi lini mjomba magu anatimba TFF..
haiwezekani Uganda wapo milion 30 na wana shida zaidi yetu.. tumewazidi kila kitu lakini wao wanafanikiwa kuliko sisi..
Tff kuna jipu kubwa...
Yanga 'yalambwa 4G' Kombe la Mapinduzi
Sunday , 8th Jan , 2017
Timu ya Yanga leo imeangukia pua baada ya kulambwa mara nne na wana lambalamba Azam FC katika michuano ya Kombe la Mapinduzi...
Kuendelea kucheza kwa kiwango cha chini kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendela Zanzibar kwa mabingwa zamani wa mashindano hayo kumeibua mambo mengi kutoka kwa baadhi ya wadau wa...
Salaam wakuu,
Karibu tena katika chambuzi za mchezo huu adhimu wa Soka. Na leo, Tutaizungumzia Timu ya soka ya taifa ya Tanzania inayoenda kwa jina la Taifa Stars.
Kama umekua ni mfuatiliaji...
Wakuu inasemekana kwenye haya mambo ya simba na yanga kuna kupigana misumari.
Sasa nimeangalia kiwango cha hivi karibuni cha huyu mchezaji wetu kiukweli nimestaajabu ! Si yule Kichuya wa kona -...
Mwanasoka kutoka Nigeria, Mikel John Obi(29) amejiunga rasmi na klabu ya Tianjin TEDA ya nchini China akitokea klabu ya Chelsea ya Uingereza ambapo katika klabu hiyo mpya atalipwa kiasi cha Pauni...
Yule aliyekuwa msemaji wa club ile yenye makazi yake katika eneo maarufu mitaa ya jangwani inayosifika kuwa na boti za mwendo kasi wa hali ya juu hasa wakati wa mafuriko, amejitokeza hadharani...
Mwaka huu Man of the Match anapewa Juice na mwaka jana alipewa kisimbuzi kwenye michuano Ya Mapinduzi inayoendelea.
Hili Limekeaje Ndo michuano Imekua au inarudi Nyuma?
Manji amewekeza hela zake nyingi Yanga, kama tunavyojua hakuna mfanyabiashara (Manji akiwa mmoja wapo) wanatengeneza hasara; hawezi kufanya kitu kisicho na faida.
Tumeshuhudia Manji akitoa hela...
A Premiership footballer was sent £5 by a soldier as thanks for helping him fix his car.
Alex Bruce, 32, a defender at Hull City, stopped to help Jay Twining open his bonnet after he was having...
Leo,katika jiji la Abuja nchini Nigeria atatangazwa mchezaji bora wa soka wa Afrika. Atatangazwa mchezaji bora kwa wachezaji wa nje ya Afrika na yule anayechezea ligi za ndani za Afrika
Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.