Wakati Ronaldo akipata tuzo ya mchezaji bora, Sanamu la Messi lavunjwa Argentina

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,067
10,936
dym1484073798.jpg

The bronze statue, unveiled last June, was broken in half and the torso, arms and head removed.

The motive for the damage was not clear but city officials say repairs to the statue are already under way.

It was unveiled just as the striker announced he was retiring from the national team - a decision he later reversed.

The statue stood on Paseo de la Gloria (Glory Street), which also displays casts of other famous Argentine sports stars such as tennis player Gabriela Sabatini and basketball player Manuel Ginobili.

Statues in the area have previously been targeted by vandals or thieves.

"The statue of Lionel Messi... was victim of an act of vandalism that left the footballer's sculpture without its top half," the Buenos Aires municipal government said in a statement.

"The city government is already working on its repair."

Source: BBC
 
Matukio hayo hayakwenda pamoja Mkuu. Sanamu la Messi lilivunjwa huko Argentina kama njia ya kumshinikiza kurejea kwenye timu ya Taifa wakati ule alipotangaza kuachana na timu hiyo ya taifa. Ulivyoweka hapa, una nia ya kuaminisha wasomaji kuwa matukio hayo yalikwenda pamoja. Jua ya kwamba, sanamu hilo limeshaanza kukarabatiwa. Messi, the best ever!
 
Argentina watu wake wamepinda sana, yaani sio papa sio raisi sio polisi sio raia wa kawaida yaani wote wamepinda.. tukio kma hili sio la kustaajabisha kwenye nchi ile.
 
Matukio hayo hayakwenda pamoja Mkuu. Sanamu la Messi lilivunjwa huko Argentina kama njia ya kumshinikiza kurejea kwenye timu ya Taifa wakati ule alipotangaza kuachana na timu hiyo ya taifa. Ulivyoweka hapa, una nia ya kuaminisha wasomaji kuwa matukio hayo yalikwenda pamoja. Jua ya kwamba, sanamu hilo limeshaanza kukarabatiwa. Messi, the best ever!
Asante mkuu kwa kumuumbua mleta mada maana Jf inakosa mvuto kwenye soka sababu ya watu kama mleta mada nkuwi PAGAN Iceman 3D Belo na wooote wanaoichukia Barcelona na King Messi
 
Asante mkuu kwa kumuumbua mleta mada maana Jf inakosa mvuto kwenye soka sababu ya watu kama mleta mada nkuwi pagan iceman belo na wooote wanaoichukia Barcelona na King Messi
Naona mleta uzi kaingia mitini
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Asante mkuu kwa kumuumbua mleta mada maana Jf inakosa mvuto kwenye soka sababu ya watu kama mleta mada nkuwi pagan iceman belo na wooote wanaoichukia Barcelona na King Messi
Chuki binafsi Mkuu huyu ndio TBE kwangu
 
:D:D:Dmembers tungepewa rukhsa ya kujifutia thread sisi wenyewe, hii ningeifuta coz haina ukweli wowote bali ni kumzushia Mfalme wa soka kuwahi kutokea!

Petro E.Mselewa waabheja saana nkoi! Yaani umemaliza kazi kamanda wangu...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Matukio hayo hayakwenda pamoja Mkuu. Sanamu la Messi lilivunjwa huko Argentina kama njia ya kumshinikiza kurejea kwenye timu ya Taifa wakati ule alipotangaza kuachana na timu hiyo ya taifa. Ulivyoweka hapa, una nia ya kuaminisha wasomaji kuwa matukio hayo yalikwenda pamoja. Jua ya kwamba, sanamu hilo limeshaanza kukarabatiwa. Messi, the best ever!
Mkuu mimi niliona kwenye news kati ya cnn au Aljazeera kuwa MeSSi Statue has been Vandalized in Argentina so hii ni hot keki news acha Kumzushia mleta Mada raha ya maisha upate habari zote nzuri na mbaya... na raha ya maisha pia uishi na watu wa tabia zote.. Watemi,Wapole,Wakorofi,Wachokozi,Wehu,machizi,Wafia Dini,Waovu,Wacheshi,Wamaudhi n.k utaishi kwa raha kabisa ndio maana tuna jeshi la ulizni jeshi la polisi lakini majumbani mwetu lazima tufunge milango sometimes hao hao wanaotulinda ndio wezi wetu...na yeshatokea so Kwa Nchi kama Brazil au Argentina vitu hivyo ni kawaida kabisa... Hakuna Raha kama Simba itakuwepo peke yake au hakuna Raha kama Yanga itabaki pekee yake Upinzani ndio utamu wenyewe BlackPanther anaelewa yote
 
Matukio hayo hayakwenda pamoja Mkuu. Sanamu la Messi lilivunjwa huko Argentina kama njia ya kumshinikiza kurejea kwenye timu ya Taifa wakati ule alipotangaza kuachana na timu hiyo ya taifa. Ulivyoweka hapa, una nia ya kuaminisha wasomaji kuwa matukio hayo yalikwenda pamoja. Jua ya kwamba, sanamu hilo limeshaanza kukarabatiwa. Messi, the best ever!
Atakuaje best wakati anakimbia timu ya taifa kwa kukosa kombe??? Ni ubora upi unausemea???

Kwa hiyo mpaka ashinikizwe ndio arudi??
PNC 1
 
Matukio hayo hayakwenda pamoja Mkuu. Sanamu la Messi lilivunjwa huko Argentina kama njia ya kumshinikiza kurejea kwenye timu ya Taifa wakati ule alipotangaza kuachana na timu hiyo ya taifa. Ulivyoweka hapa, una nia ya kuaminisha wasomaji kuwa matukio hayo yalikwenda pamoja. Jua ya kwamba, sanamu hilo limeshaanza kukarabatiwa. Messi, the best ever!
Bora umemaliza kila kitu
Screenshot_2017-01-08-05-44-26-1.png
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Asante mkuu kwa kumuumbua mleta mada maana Jf inakosa mvuto kwenye soka sababu ya watu kama mleta mada nkuwi pagan iceman belo na wooote wanaoichukia Barcelona na King Messi
Wewe mbona unamchukia Cr7
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom