demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,288
- 15,238
Kwanza kabisa nikupe hongera na pongezi za dhati kwa kufuzu kutinga fainali!
Kwa hatua ile, si kwamba ulistahili bali ulibahatika kusonga mbele. Ni kanuni na taratibu tu za soka jinsi zilivyo. ilipasa mmoja asonge mwingine abaki...( kwa namna yeyote ile) na ndio maana kwenye soka kukawekwa mikwaju ya penati.
Narudia tena! '' si kwamba ulistahili, bali ulibahatika''. (naomba tusibishane katika hili maana nitakuona si mjuzi wa soka ukiwa unabishana na watu kama akina Peter Shilton na Austin Eguavoen).
Maana imeonekana ndio nja pekee ambayo unayoweza kuitumia kikamilifu kumkimbia kaka 'ako. Yaani umeshindwa kabisa kuonyesha na kuthibitisha ukuu wako kwa kaka yako ndani ya dakika 90....haswa tangu enzi za mababu zile....
ila ukumbuke kuwa si kila sehemu, kuna uchochoro wa penati. Kaa ujue kuwa nakungoja kwenye ulingo wangu wa LigiKuu Tanzania Bara, ulingo ambao hakuna namna yeyote ya kukana kuwa mimi ndiye mfalme wa huo ulingo.
Nakupa pongezi pia kwa kuongeza ubora wa timu yako na kumpa shida sana mbabe wako Yanga SC kwa kumzuia ashindwe kukuchomeka vile vigoli vya ndani ya dakika 90. Kumbuka pia, pongezi hizi hazimaanishi kuwa u bora kwa sasa kuliko Yanga SC. Najua kwa sasa unafuraha sana na ushindi wa matuta, ila nina mimi binafsi nina ghababu sana ya kukosa ushindi wa dakika 90 kuliko wa penati,
sijilaumu kukosa nafasi ya kusonga mbele kwa njia ya Penati, najilaumu zaidi kwa nafasi ile ya dakika 90.
Acha nitangulie bara kuendelea na Mbio za kukimbiza kile ambacho kina thamani sana na 'Mimi'. Pengine kulikosa 'hiki' limesababishwa na hadhi ya jinsi 'hiki' kilivyo.
Nina uhakika utanifuata nyuma mikono mitupu kama kaka yako nitanguliavyo! una siku 2 na saa kadhaa kuamini hili. Kwa sababu nakujua vyema sana mdogo wangu.
Nakupa pongezi kwa kuniponyoka kupitia Mikwaju ya penati.