Kuna watanzania waliwahi kushiriki Lotto Games?

24hrs

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,622
5,952
Jamani wadau,

Naomba maelezo kidogo, hizi lotto games ambazo mara nyingi huchezeshwa Marekani kwenye baadhi ya majimbo yake, kuna watanzania walioshiriki na kushinda ama scam wa Nigeria.
 
Back
Top Bottom