TFF ianze michakato ya kutengeneza viwanja vyake na kuiachia serikali viwanja vingine

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Wakuu habari za leo,

Napenda kuiweka hii hoja mezani ili tuishauri shirika la Michezo Tanzania. Inashangaza sana uwanja wa mpira wa Zanzibar wa Amani ndio huo unaotumiwa kwa gwaride na shughuli za serikali mfano sherehe za Mapinduzi, hali hii inapelekea uwanja kutokuwa na ubora kama viwanja vya wenzetu.

USHAURI.
TFF uanze michakato ya kutengeneza viwanja vyake na kuiachia serikali viwanja vingine kwaajili ya shughuli za kiserikali na sio kuchangia uwanja.
 
Mbona viwanja vyote ni hivyo mkuu? Wewe umeona Amani tu? Uhuru dar, sokoine mbeya, jamhuri Dom, nk vyote ni full Magwaride
 
Back
Top Bottom