BRING BACK OUR PLUJM

Fasir

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
222
270
Wadau toka amekuja huyu kocha Lwandamina naona kiwango cha klabu yetu ya Yanga kinashuka kwa kasi ya ajabu sana... Yaani tumekua Yanga Mdebwedo yani sisi wakupigwa Goli nne na Azam... Naomba uongozi wa Yanga umrudishe Hans Van Plujm haraka iwezekanavyo
 
young walimkimbiza bila huruma.Ngoja mungu awaonyeshe
 
Attachments

  • IMG-20170107-WA0001.jpg
    IMG-20170107-WA0001.jpg
    22 KB · Views: 48
mbona wakati mnashinda hatukusikia hayo maneno ilikuwa Msuva, Tambwe ,Ngoma ni balaa mkajiita wazee WA sita ....
 
Poleni huku mtaani mpewa jina jengine baada ya lile la wakimataifa,xx mnaitwa yanga 4G...
 
Mikia wekeni akiba ya maneno.... Juma luizio akihojiwa na Azam TV leo alisema tunaenda kukutana na timu kubwa nusu fainali....
 
there is something behind bars ...kuna wapiga dili pale yanga thatsway wakamuondoa pluijin
 
Sijaona sababu ya kumuondoa Pluijin.Lwandamina hana lolote zaidi ya kuja kupiga hela Yanga halafu Mwenyekiti aongeze deni kwenye Timu.
 
Back
Top Bottom