Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Wakuu, Ndege yoyote anayopanda Rais mara nyingi inapewa jina Ili iweze kutambulika na watu wa control tower, mfano Rais alivyopanda Dreamliner basi palepale ili-change jina kwa muda mpaka...
10 Reactions
43 Replies
12K Views
Habari wanajamvi. Natumai kila mmoja yupo sawa kabisa. Nimekuwa nikijiwekea utaratibu wa siku za weekend nikiwa off-duty, kuwa mbali na simu, TV, PC au kitu chochote cha teknolojia...
19 Reactions
88 Replies
16K Views
Kama kioo kinavyoileta taswira ya mtumiaji, ndivyo nafsi zetu huileta taswira ya maisha yetu. Wewe ni yule unaejiona katika nafsi yako lakini wengi wetu tunaishi nje ya taswira za maisha yetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika maisha ya binadamu ni watu wachache sana tena ambao ni vichaa, matahira au waliologwa ndio wanaoweza kwenda kinyume na wazazi wao au kwa kwa lugha rahisi kuwasaliti wazazi wao au kuwa...
8 Reactions
47 Replies
7K Views
Misri haili ikashiba, hailali usingizi, hainywi maji yakapita ikiwaza mto Nile na usalama wake. Misri inaongoza kwa kilimo cha umwagiliaji kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Afrika Mashariki ambako...
17 Reactions
39 Replies
9K Views
Katika dunia ya kijasusi ni vema kuelewa haya mambo na kuwa makini na kila kitu kinachokutokea ana hata ambayo huyajui. Jamii zetu zinapaswa kuwa na intelijesia ya kuelewa kuwa dunia haikai...
3 Reactions
52 Replies
9K Views
Baada ya mauai ya luteni jenerali Imran Kombe, serikali ya raiai Benjamiin Mkapa ilishikwa na kigugumizi na ikashindwa ijishirikishe vipi na vyombo vya habari na umma wa Watanzania...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Tangia 2017 nilianza kupitia hali ya ukumbusho wa mara kwa mara ili nizione namba 1111 pale zinapokuwa zimetokea au kuwako sehemu. Sio asubuhi, mchana au usiku. Mara nyingi nimekuwa nikiziona...
2 Reactions
10 Replies
10K Views
Nakumbuka mwalimu wangu wa historia alitufundisha kuhusu 'barter trade' biashara iliyofanyika kwa kubadilishana vitu kwa vitu kulingana na thamani na uhitaji kwa muda huo. Mababu zetu walishiriki...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna taarifa zimekuwa zikienea katika mitandao sasa ni muda kuwa Ikulu ya Tanzania inalindwa na Wanajeshi kutoka nchi jirani ya Rwanda na sasa zimeibuka taarifa kuwa Ukuta uliojengwa juzi juzi tu...
33 Reactions
390 Replies
45K Views
Tunaomba sana, kwa Yule anayetaka kulinfanisha na nchi yake, aweke link kama hii ambayo ni "Neutral" ili jamii nzima iweze kuona. ===== African Aerospace - The rise and rise of...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habarini za mchana wakuu, Naomba kuleta mada hii ambayo nimeipitia ila sijapata nondo za kutosha maana bado nimepata mkanganyiko kidogo. Twende pamoja. Inasemekana kuwa kuna hawa beings wanayo...
8 Reactions
98 Replies
19K Views
Sisi wapenzi na wafuasi wa bibilia kama kitabu cha Muumba lakini kama msitu wa maarifa uliojaa kila kitu tunajifunza kumewahi kuwepo na tawala kubwa NNE zilizotikisa DUnia ya wakati huo...
53 Reactions
218 Replies
45K Views
Mara nyingi tumekuwa tukisikia watu wakilaumiwa au kulaumiana kutoa 'siri' za serikali kwa wananchi. Hivi hizo zinazoitwa siri za serikali ni zipi na kwanini zinakuwa siri? Ikiwa tunaaminishwa...
3 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari zenu wana-JamiiForums, Leo napenda kushare nanyi moja kati ya mjadala ambao umenivutia sana kati ya manguli wawili waliowahi kupata kuishi nchini Marekani, James Baldwin na William...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
If anyone has listened to the podcast by Power Corrupts, from dictators to demigods, they will have stumbled on the above question. May I begin with a disclaimer, that this thread is meant to...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna tabia au hulka ambazo binadamu huzaliwa nazo na kuna zile ambazo mtu anazipata anapochangamana na watu mballimbali katika mazingira aliyopo. Ukiachilia mbali tabia ya kutopenda kulaumiwa...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naombeni kujuzwa nimeona Kwenye rank za usalama wa taifa duniani ya ya Pakistan inaonekana iko juu nafasi ya kwanza ikifuatiwa na CIA ya Marekani. Leo ninataka kujua 'rank' ya ubora wa hivi...
3 Reactions
60 Replies
14K Views
imekuaje hadi nikajiuliza hilo swali? story yenyewe iko hivi. nina rafiki yangu wa kike,siku za hivi karibuni yapata kama mwezi sasa,mara kwa mara na humtokea baada ya kutoka kusali tu,anajikuta...
5 Reactions
227 Replies
37K Views
Barrack Obama aliwaita mkurugenzi mkuu wa CIA Leon Paneta pamoja na majenerali kadhaa wa jeshi la Marekani siku chache baada ya CIA kumtaarifu Rais Obama kuwa ,tayari maficho ya Osama waliweza...
13 Reactions
39 Replies
8K Views
Back
Top Bottom