Families That Secretly Control The World

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Katika dunia ya kijasusi ni vema kuelewa haya mambo na kuwa makini na kila kitu kinachokutokea ana hata ambayo huyajui. Jamii zetu zinapaswa kuwa na intelijesia ya kuelewa kuwa dunia haikai, hailali ipo macho muda wote. Sio kila ujualo likawa suluhu lazima ujue na mengine usiojua.

Families That Secretly Control The World
 
Ungejaribu kuiweka kwenye mandishi vizuri watu wakaielewa...hapo kwanza inakula Mb pia ni vigumu kwa wasomaji wapya wa haya mambo kuielewa hata kama wakiiangalia...
Kweli kabisa, mimi nimeghairi kuitazama kwa kuwa sipo sehem tulivu!
 
Mtu uko kwako unafanya kila unachotaka afu unasema kuna familia flani inakukontroo...haya ma conspiracy theory yanawawehusha bure..
una uhakika unafanya kila unachotaka au unafanya vile wao wamekuwekea ufanye? Starehe, kuajiriwa, kuchukua mikopo, system za bima ya afya, ufuate sheria , :D:D:D. Unazaliwa unafuata the same system ya makuzi amabayo hujui nani ndo ka idefine. Kwamba lazima uende shule. Ukifika shule lazima usome kile wao wanataka, na mengineyo halafu unasema unafanya kile unataka?????? Ungekuwa unafanya kile unataka basi ungesoma curriculum ambayo umedefine wewe. Ungeenda benki ungekopa kwa riba unayotaka wewe. Babylon System inaandaaa watu kuwa watwana wa hiyo system..Wachache wanaojua how that system works ndo wanakuwa the most powerful people in this world sababu wana deviate kutoka msingi ambao kila mtu anategemewa apitie. U sturbon wao ndo unawafanya nao wanakuwa part ya system. Jiulize kwanini Bill Gates, Mark Zuckerberg, Henry Ford, Tom Edison hakuna hata mmoja ambaye ni graduate..The knew they had to deviate from the system everybody follows nao wakafika stage ambao they close to the people who control the system. :D:D:D:D
 
Ishu ni kugraduate kwani wangapi wana degree zao na wana kampuni zao na mapato yao,acheni ufamba wa kutegemea conspiracy theories wakati u have the freedom to live the life u want
Starehe nani anakukontroo kustarehe unavyotaka??
Mkopo unataka uchukueje bila utaratibu ama,bima ya afya inamsaidia nani kama sio wewe?ukipata superior medical care ni mtu anakukontrooo hapo??
Elimu si nimesoma afu naitumia mwenyewe, unataka usome syllabus yako alafu Acha shule sasa ndo uone watu watakavokukontroo vzuri
Em give me something practical mfano tangu nilivoamka leo asubuhi hadi saivi nani kanikontroo ama familia gani tajiri imenikontrooo,najikontrooo wmnyw na Mungu
Family iko US sijui UK mi inanikontroo vipi mjipange mda mwingine mnavyofikiria mambo yenu
 
Kufuata sheria ni misingi tangu dunia inawekwa Mungu aliweka amri kumi tuzifuate kufuata sheria sio kitu kigeni kilichoanzishwa na familia flani
 
Ishu ni kugraduate kwani wangapi wana degree zao na wana kampuni zao na mapato yao,acheni ufamba wa kutegemea conspiracy theories wakati u have the freedom to live the life u want
Starehe nani anakukontroo kustarehe unavyotaka??
Mkopo unataka uchukueje bila utaratibu ama,bima ya afya inamsaidia nani kama sio wewe?ukipata superior medical care ni mtu anakukontrooo hapo??
Elimu si nimesoma afu naitumia mwenyewe, unataka usome syllabus yako alafu Acha shule sasa ndo uone watu watakavokukontroo vzuri
Em give me something practical mfano tangu nilivoamka leo asubuhi hadi saivi nani kanikontroo ama familia gani tajiri imenikontrooo,najikontrooo wmnyw na Mungu
Family iko US sijui UK mi inanikontroo vipi mjipange mda mwingine mnavyofikiria mambo yenu

No no no noooo Broda, u dont have such freedom to live as u want. Waishi kama watakavyo ndo maana leo hii unafuata sheria na miongozo mbalimbali ambayo kiundani ilianzishwa na giants.
 
Uwezo ulio nao ni kuandika na kusoma tu! Ila kupeleka mambo kwenye ubongo na kuyachakata ni zero kama bashite
 
Zero ni nyie miongozo ts obvious ipoo tangu dunia inawekwa, tofautisha mtu kukukontroo na systems zilizopo
Eti kisa unasoma mtu anakukontroo plss,..unavyopumua hizo familia zinakukontroo pia???unavyoamka asbh,unavochagua girlfriend ama mke,
Think for urselves idiooo...
 
No no no noooo Broda, u dont have such freedom to live as u want. Waishi kama watakavyo ndo maana leo hii unafuata sheria na miongozo mbalimbali ambayo kiundani ilianzishwa na giants.
Sheria kaanzisha Mungu kuna amri kumi
Na sheria zipo kupunguza uhalifu, Kuna mtu anakuzia kusoma,??? Ama kukopa,ama kufungua biashara ama kutibiwa nani anakukontroo hapo
Sheria ipo mfano usiuee uaa kaozee jelaaa...uishi utakavyo unataka uue ama ufanye nini extra
Sioni logic mtu kusema nakua controlled wakati I choose the shit I want all the time....
Eti familia gani sijui plsss...give me a break
Conspiracy theories zitawamaliza mnakaa na umbumbumbu unadhani mtu kakufunga kumbe u can chose anything u want and live ur life
 
Ishu ni kugraduate kwani wangapi wana degree zao na wana kampuni zao na mapato yao,acheni ufamba wa kutegemea conspiracy theories wakati u have the freedom to live the life u want
Starehe nani anakukontroo kustarehe unavyotaka??
Mkopo unataka uchukueje bila utaratibu ama,bima ya afya inamsaidia nani kama sio wewe?ukipata superior medical care ni mtu anakukontrooo hapo??
Elimu si nimesoma afu naitumia mwenyewe, unataka usome syllabus yako alafu Acha shule sasa ndo uone watu watakavokukontroo vzuri
Em give me something practical mfano tangu nilivoamka leo asubuhi hadi saivi nani kanikontroo ama familia gani tajiri imenikontrooo,najikontrooo wmnyw na Mungu
Family iko US sijui UK mi inanikontroo vipi mjipange mda mwingine mnavyofikiria mambo yenu
Haya stick to whatever you believe in hujashikiwa bunduki..Stay in your cocoon you will be safe kijana..:D:D
 
Naona umekosa majibuu...
Sijakosa majibu. Lakini is it worth kukupa majibu? Hicho ndo cha msingi na huu muda wa kutafuta hela sio kubishana na keyboard warrior..Hizo ligi sinaga muda nazo...Wewe kama una muda endelea na discussion na wengine.. Mimi I am out..:D:D:D..
 
Ama hadi kupost majibu kuna mtu anakukontrooo hehehhehe,smh...unadhani hao kina Rothschild,Rockefeller et al hatuwajui???ama ni watu mnakua brain washed na conspiracy theories...
 
Sheria kaanzisha Mungu kuna amri kumi
Na sheria zipo kupunguza uhalifu, Kuna mtu anakuzia kusoma,??? Ama kukopa,ama kufungua biashara ama kutibiwa nani anakukontroo hapo
Sheria ipo mfano usiuee uaa kaozee jelaaa...uishi utakavyo unataka uue ama ufanye nini extra
Sioni logic mtu kusema nakua controlled wakati I choose the shit I want all the time....
Eti familia gani sijui plsss...give me a break
Conspiracy theories zitawamaliza mnakaa na umbumbumbu unadhani mtu kakufunga kumbe u can chose anything u want and live ur life

Yan kuanzia hivyo vitabu vinavyoandika juu ya dini wanavicontrol wenyewe sasa huoni hapo bado wana kucontrol..magonjwa wameyatengeneza ili kufanya biashara ya dawa. Sasa usiniulize kwamba mbona na wenyewe yanawapata utajijibu kwa sababu hata silaha hutengenezwa lakini huuwa pia watengenezaji.
 
Back
Top Bottom