Kama kioo kinavyoileta taswira ya mtumiaji, ndivyo nafsi zetu huileta taswira ya maisha yetu.
Wewe ni yule unaejiona katika nafsi yako lakini wengi wetu tunaishi nje ya taswira za maisha yetu jambo linalotupa ugumu wakuwa tunavojiona katika nafsi zetu.
Na sababu kubwa ya hili ni matamanio yakua kama... lakini tunapaswa kujua matamanio hayawezi kuushinda uhalisia.
Rai yangu nikua tutamani kua kama... lakini iwe kupitia uhalisia wa tunavyojiona katika nafsi zetu, hii ndo njia pekee itakayotupa wepesi wakufika tunapopatamani